Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Siunajua single mothers asilimia kubwa wanapata 50% ya mishahara ya ex Dady zao. Ndio maana wanaume wanalalamika wanavyopigwa hapo
Aiih who said that.? Kama ipo kwa Law mbna haifuatwi.? Kurareki nmeshawah kuw kwa mahusiano na single mother na yule jamaa Ju alizaa nae hakuw anatoa hataaa 10, na alikuw ako na gud job ati couple of mils for a salary bt hey me ndo I used to sponsor that Boy as if he was my own, fees en stuffs.. Hadi akaw ananiita Dad en he was a gud kid..
Na wanaume wenzngu msio Tunza watoto zenu huko Mmerogwa kubabayo zenu Be a man Goooddaaaamn
 
Hivi wakati mnacheza unaweza jua huyu jamaa ataniumiza halafu uendelee kuucheza kweli?? Hamna anayejua ila likishatokea ndo utamjua mwenzako yuko kwenye msimamo upi.
Cheza kwa madoido mama
Yaani mtu ambaye hamfiki mbali uta mjua tuu. Kuwa makini unavo cheza
 
Walio divorce wengi kukumbushia ndio rahsi zaidi wakikutana.

Ila mi najua mwaamke yeyote hata single mother mwenyewe hawezi kupenda mtoto wake wa kiume aje atunze watoto wa dume lenzie.

Ila kuna wale watu wazima vya kumalizia uzee pamoja sawa tuu hivo. Hao ni single grand parents[emoji1]
aahhh!wapi inategemea mliachana vipi!
watu mmeachana kwa vurugu mpk mawasiliano au uhusiano mzuri umekufa!!

mnapashana kiporo wapi....!!
 
Cheza kwa madoido mama
Yaani mtu ambaye hamfiki mbali uta mjua tuu. Kuwa makini unavo cheza
Sasa nikimjua unadhani nitaendelea nae?? Yaani huwa unajuaga too late, na mwanaume ambaye ni mpitaji likishatokea suala la mimba ndo anabadilika kabisa
 
Jmani ishu ya kuhukumu watu sio nzuri hata kidogo.
kila nikiwazaga haya namkumbuka Danielle steel. who am I to judge?

nimeona single mothers wengine wanakuwa faced na hii situation kwasababu ya circumstances too. Hivi niwaulize nyie wanaume ambao mnatoka kwenye familia za kichawi baba, mama , dada, kaka ni wachawi. Ambao wanakula watoto wenu na wanataka kuwabebesha mikoba mbona hamsemi hayo jamani? tumeona ndoa za wengi tu zikivunjika kisa ndg wa mume ni wachawi na mwanaume ni mshiriki wa hizo madhabau.

mbona hamsemi pale ambapo nyie wenyewe as wanaume mnasahu wajibu wenu wa kulea na kutunza familia adi mnamtwisha mwanamke huu mzigo? Ukiona mwanamke anang'ang'ania kulea mwanae alone ujue kuna sababu. Mtu mwanae wa kwanza kaliwa nyama sasa unataka aendelee kukaa hapo?

achilia wale wanaume surual ambao wao wanajua kutia mbegu tu kulea hawajui hivi utahangaika na jitu la hivi la nini? mwache huyu mama aendelee na hamsini zake. atalea mwanae atakua.

ikitokea umempenda just love her na mtoto wake kama aambavyo angekuwa wako angelelewa na mwingine. unapotaka kumpenda mtu basi angalia potential ndani ya huyo mtu na sio swala la usingle mother. so far wanaume wa kizazi hiki ndo mko hivyo kulia lia tuu mkaacha kutafuta maisha na kutimiza wajibu wenu kama wanaume.

uliza vizuri baba ama babu yako alilea mtoto wa mkewe na hakuwah kulalamika lalamika alijua huo ni wajibu wake period.
nampenda sana mwanaume ambaye akimpenda mwanamke hata kama anamtoto basi humchukua mtoto kama ni wake bila kulalamika lalamika kama wanaume wa mitandaoni
 
Kwanza Singer mother ndio wazuri wanajua kupenda care maisha ya mapenzi anayajua vizuri
 
hukupenda!!!!? ulibakwa?
kwan kumimbwa ni adi ubakwe tuu??
wanaume mnakejel sana kisa hambebi mimba na wala hamzai so mkishatia mimba mnalala mbele.
ila jueni kwamba hayo ni matokeo yenu. Na ninaamin mpaka sasa mmeshaanza kuisoma namba kwa jinsi mnavyokimbizwa na wamama si kwa mwendo huu wa kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. si kwa mwendo huu wa kusoma ninaouona kwa hawa akina mama
 
Hivi wakati mnacheza unaweza jua huyu jamaa ataniumiza halafu uendelee kuucheza kweli?? Hamna anayejua ila likishatokea ndo utamjua mwenzako yuko kwenye msimamo upi.
Ebu acheni upuuzi maana mwanamke usiye na uelewa kuwa uko kwenye danger zones, hadi unapata unplanned pregnant kwa haraka mwanaume mwenye malengo na smart anaona hufai aisei.

Afu pia jiulizeni inakuwaje usijue kuwa kuzaa nje ya ndoa ni aibu kwako, familia na jamii nzima kwa tamaduni zetu.

Binafsi huwa naona makosa mengi wanayo wanawake, maana mwanaume time yeyote anauwezo kutia mimba ila girls only some days in a month.

Mjitambue wengi wenu kupenda miteremko unafanyishwa sex bila kupenda na kwenye siku za hatari sababu ya kuendekeza njaa na ngono zembe..[emoji41] [emoji41]

Sasa wakisha kuwa hivyo wachache wanajutia kosa na kujipanga vyema wengi huwa wanakuwa desperate na kujidai wanaume wote sawa. Hii imewaponza wengi anaingia kwenye relationship upya afu anajifanya kuishi kwa kujiami hii huwa inatukera wanaume ambao bado ni mabachelor.
 
aahhh!wapi inategemea mliachana vipi!
watu mmeachana kwa vurugu mpk mawasiliano au uhusiano mzuri umekufa!!

mnapashana kiporo wapi....!!

Hahaha, hata wahenga walisha sema
Wagombanao ndio wapashanao, kuna ile bond tuu iliyo kuepo hadi watu wakaona huwa haitoki ile

*japo si wote, ika wengi hufanya hivo
 
Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Kusingekuwa na single mother kawa Kusingekuwa wanaumw wenye tamaa na wanaoogopa majukumu
 
Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
pole sana Mkuu naona umeongea kwa uchungu sana. japo na mimi nshamfanya mtu kuwa single mother ila pia wasiwachukii kabisa masingle Mamaa
 
Jmani ishu ya kuhukumu watu sio nzuri hata kidogo.
kila nikiwazaga haya namkumbuka Danielle steel. who am I to judge?

nimeona single mothers wengine wanakuwa faced na hii situation kwasababu ya circumstances too. Hivi niwaulize nyie wanaume ambao mnatoka kwenye familia za kichawi baba, mama , dada, kaka ni wachawi. Ambao wanakula watoto wenu na wanataka kuwabebesha mikoba mbona hamsemi hayo jamani? tumeona ndoa za wengi tu zikivunjika kisa ndg wa mume ni wachawi na mwanaume ni mshiriki wa hizo madhabau.

mbona hamsemi pale ambapo nyie wenyewe as wanaume mnasahu wajibu wenu wa kulea na kutunza familia adi mnamtwisha mwanamke huu mzigo? Ukiona mwanamke anang'ang'ania kulea mwanae alone ujue kuna sababu. Mtu mwanae wa kwanza kaliwa nyama sasa unataka aendelee kukaa hapo?

achilia wale wanaume surual ambao wao wanajua kutia mbegu tu kulea hawajui hivi utahangaika na jitu la hivi la nini? mwache huyu mama aendelee na hamsini zake. atalea mwanae atakua.

ikitokea umempenda just love her na mtoto wake kama aambavyo angekuwa wako angelelewa na mwingine. unapotaka kumpenda mtu basi angalia potential ndani ya huyo mtu na sio swala la usingle mother. so far wanaume wa kizazi hiki ndo mko hivyo kulia lia tuu mkaacha kutafuta maisha na kutimiza wajibu wenu kama wanaume.

uliza vizuri baba ama babu yako alilea mtoto wa mkewe na hakuwah kulalamika lalamika alijua huo ni wajibu wake period.
nampenda sana mwanaume ambaye akimpenda mwanamke hata kama anamtoto basi humchukua mtoto kama ni wake bila kulalamika lalamika kama wanaume wa mitandaoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asanteee

umemaliza!!
 
Back
Top Bottom