Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Tatizo tunaogopa mambo ya kupasha viporo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kwamba mzazi mwenza anaweza akajipigia atakavyo kisa una mtoto nae tatizo wengi mmekariri hivo but hiyo kitu haipo kwa wote.Kuna watu walio wahi kuwadate single mothers wakaenda poa, ila wengi mambo hayawi mazuri, halafu baba wa mtoto anaweza piga mzigo muda.
Hata wewe single mother mwenyewe sidhani kama ungependa mtoto wako wa kiume aje alee mtoto asiye wake.
Pia uki date na single mothers unafanya double work, umfurahishe mama na mwanae.
*kuna wale ambao walio zaa nao walifariki wana la kujitetea, zaidi ya hapo wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume wa kuzaa naye tu.
Ahsante mkuuPole mkuu,
Mungu atakujaalia na utajifungua salama tu, kisha maisha yataendelea na utasahahu kila gumu ulilo lipitia.
Ahahaha.Inaonekana ulishapitia apo si kwa maelezo ayo
Sio wote wanaofanya ujinga huoTatizo tunaogopa mambo ya kupasha viporo
Ohoooo! Nyie ni Wabayaaaaaa!Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
Imeshatokea sana hiyo mbona.Sio kweli kwamba mzazi mwenza anaweza akajipigia atakavyo kisa una mtoto nae tatizo wengi mmekariri hivo but hiyo kitu haipo kwa wote.
Hata kama hapigi lakini kitendo cha kuendelea kuwasiliana nae tu eti kwa kgezo cha mtoto wake hakuna mwanaume anaweza kivumilia labda awe falaSio kweli kwamba mzazi mwenza anaweza akajipigia atakavyo kisa una mtoto nae tatizo wengi mmekariri hivo but hiyo kitu haipo kwa wote.
Ni kweli huwezi jua ya keshoAhahaha.
Nilikuwa mdogo nikaona naanza kuzeeka nimekuwa baba mapema
Ndio nikapumzika. Sema mi sina ile misemo sijui "sitakuja kutoka na single mom", hapana huwezi jua kitatokea nini kesho
Ni kweli inaboa sana hasa kwa single mothers wanapoona wanasakamwa kila wakati, lkn pia single mothers mjue kuwa sisi wanaume tunapenda sana kuwa na nyie tatizo linakuja unapowasiliana na baba wa mtoto ndo shida ilipo. Chagua moja either umkabidhi mtoto kwa baba yake na usiwasiliane naye au ubaki na mtoto na kusiwe na mawasiliano na baba yake. Halafu kingine utakuta ww umekuja na mtoto na mm umenikuta na mtoto lkn unaonesha ubaguzi kati ya hawa watoto kitu mbaya sana hiiHellow jf,
Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu jf, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?
Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu....
Hapa naona kisu kimenigusa kwenye mfupa aiseeee....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupasha hata kwa msichana yoyote asiyejithamini anaweza Fanya hvyooTatizo tunaogopa mambo ya kupasha viporo