Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Kuna watu walio wahi kuwadate single mothers wakaenda poa, ila wengi mambo hayawi mazuri, halafu baba wa mtoto anaweza piga mzigo muda.
Hata wewe single mother mwenyewe sidhani kama ungependa mtoto wako wa kiume aje alee mtoto asiye wake.
Pia uki date na single mothers unafanya double work, umfurahishe mama na mwanae.
*kuna wale ambao walio zaa nao walifariki wana la kujitetea, zaidi ya hapo wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume wa kuzaa naye tu.
Sio kweli kwamba mzazi mwenza anaweza akajipigia atakavyo kisa una mtoto nae tatizo wengi mmekariri hivo but hiyo kitu haipo kwa wote.
 
kwanini ukubali upokee mimba ikiwa hamuishi pamoja? hebu shtuka mdada ambaye bado hujazaa usipokee mimba ukiwa kwenu,pokea mimba ukiwa kwa mwanaume wako tayari
 
Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
Ohoooo! Nyie ni Wabayaaaaaa!
 
Sio kweli kwamba mzazi mwenza anaweza akajipigia atakavyo kisa una mtoto nae tatizo wengi mmekariri hivo but hiyo kitu haipo kwa wote.
Imeshatokea sana hiyo mbona.

Ni muda wa wanawake wenyeww kujifunza, usizae na jitu la ajabu ajabu unalo jua hamta fika nalo mbali, unamletea mzigo mtu atakaye kuja kukupenda kwa dhati kesho.
 
Tatizo za single mothers kuendeleza mawasiliano na wazazi wenza.

Unakuwa naye kwa nia na roho moja kumbe bado anapasha kiporo na mzazi mwenza.

Hapo utaambiwa wanawasiliana kisa mtoto.

Mjfunze kuwa na msimamo.
 
Tatizo la single mother ni kuruhusu mahusiano na baba yake mtoto hata ya kwa ajili ya mtoto....mimi nina mtoto nimezaa na binti mmoja baada ya mtoto kufikisha miaka mitano nilienda nikawalipa gharama waliyotaka kwa kumtunza mpk age ile tukamalizana!! Kuanzia hapo haruhusiwi hata kuulizia mtoto anaendeleaje mpk atakapokuwa mkubwa amtafute mama yake...single mother mngeweza hilo wala hamna shinda mnaweza kuolewa na ndoa ikawa nzuri tu! Tatizo lenu ni uwepo wa mahusiano na wazazi wenzenu kwa kigezo cha mtoto na hilo ndo linawagharimu wengi! Hakuna mtu anaweza vumilia huo ujinga lazima ndoa itavunjika tu
 
kweli kbs bora single mother kuliko abortion ila ubaya wa single mother wana ugonjwa wa kuona hawana thamani tena na magubugubu ila hwn shida kbs ni wanawake km wengine ila wanahitaji mwanaume wa kuwapenda km walivyo na kuwahakikishia raha ya milele maana wengi wao uwaga chuki,hasira,majuto sana moyoni,they need a man to heal their soul....mwanaume anayeweza kuelewa kichaa chao kimeletwa na nini na akawavumilia kwa yote
............
 
N
Hellow jf,
Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu jf, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Ni kweli inaboa sana hasa kwa single mothers wanapoona wanasakamwa kila wakati, lkn pia single mothers mjue kuwa sisi wanaume tunapenda sana kuwa na nyie tatizo linakuja unapowasiliana na baba wa mtoto ndo shida ilipo. Chagua moja either umkabidhi mtoto kwa baba yake na usiwasiliane naye au ubaki na mtoto na kusiwe na mawasiliano na baba yake. Halafu kingine utakuta ww umekuja na mtoto na mm umenikuta na mtoto lkn unaonesha ubaguzi kati ya hawa watoto kitu mbaya sana hii
 
wanafurahisha baraza kijana au mwanaume Mwenye upeo hawezi mdhalilisha mwanamke anaelea peke yake mtoto!

Suala la uaminifu ni tabia ya mtu awe na Mme,mtoto au awe hana vyote

Humu watu wanageralize kua single mothers hawafai kabisa which is not fair!!

Wanafanya hvyo as if ktk familia zao Hamna hao watu!!

Hawajui kua heshima ni ya mtu mwenyewe
 
hivi hawa single mothers walijishikisha mimba wenyewe enhee? itabd wadada wa jf na nyie muanzishe kampeni yenu against single fathers...
 
Back
Top Bottom