Muache tumia majina magumu magumu..mdada ukute mzuriiii ila anatumia jina kama huyu hapa chini 👇👇👇
Mkuu naomba IST tu, nina imani hii ni shida yenye maslah mapana
Mtu kama huyo 👆👆👆 hata kama nilitaka kukupa hiyo IST naghairi...jina kama mzizi bwana...Waigeni wenzenu kama kina
cute b au toto linajiita
Beauty Eva au
Miss_Irene au
miss chagga yani hata kama sura iwe kama tairi mtu unashawishika kuhonga maana Jina tu TAMU... ila nyie wapenda majina mgumu magumu sijui ya babu zenu sijui nani Yarembeni bhasi kidogo kama mwenzenu
Beautiful Nkosazana yani japo hilo la mbele sijalielewa ila kalitia swaga kidogo AU huyu anajiita
Baby Mwai ....yani swag juu ya swag...Angejiita Mwai aone mwingine nisimsahau
ukhuty
Kuna wale wagumu kuelewa Kwanza Profile zao wameweka masura meusi yasio na ushawishi mfano huyu kiongozi wa kutuita mafurushi
Atoto yani sura jeusiiiiii kama
King Kong III bwana... huyu mwingine nae sielewagi Profile yake nageuzaga hii PC yangu style zote labda ntaelewa ila nimeshndwa elewa
Mzigua90..kuna jimama sjui jimwanamke anajiita eti
hii sasa kali hhivi kweli kwa jina hilo mi nakusevuje kwenye simu yangu??
Jamani mnachotutafutia ni kuonekana wanaume wa JF ni mashoga..hivi kweli mimi nachati na mtu namuita baby ila nimemsave
Khantwe mtu akiona si atajua hili jamaa linachati na mwanaume mwenzake..Aseeeeee badilisheni majina hayooooo..
Seriously mdada mrembo figure matata sauti mwororo unajiita
mahondaw au
corasco au
gilldenu hivi mko serious?
Na nyie mnaoweka sura za waume zenu sijui babu zenu na angali mnazijua ni ngumu kama soksi za Magu muache....
Ebu mfateni mwenzenu
Beauty au
Cute lee wawaambie siri yao...Acheni kujitia wagumu ebu...