Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Mimi nawasaidia kwa kuanzia

"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"


Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.

Location: Star baber shop Dodoma.
Wewe mbona hufungui? Yaani hii ni mara ya tatu nakukumbusha nifungulie PM yako au ni PM mimi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…