MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Unapika? Njoo unipikie tuthibitishe maneno yako mkono mtupu haulambwiWeeee nikikupikia utasahau kurudi nyumbani kwa mamaa kayaaii shaurilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapika? Njoo unipikie tuthibitishe maneno yako mkono mtupu haulambwiWeeee nikikupikia utasahau kurudi nyumbani kwa mamaa kayaaii shaurilo
Wewe mbona hufungui? Yaani hii ni mara ya tatu nakukumbusha nifungulie PM yako au ni PM mimi basiMimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Ndio tena sana sanaaShiiii nnare... Mmeru +mmasai kweli hii combination ni hatari unaonekana ni mkali Sana
Unataka uwaone ili iweje mkuu..
Hilo ni shambulio la aibu
Wallah natamani kulia mpenzi fanya chap chapUnaweza kulia
mmh usitake kunifanya nihonge istWeeee nikikupikia utasahau kurudi nyumbani kwa mamaa kayaaii shaurilo
Wallah natamani kulia mpenzi fanya chap chap
Hahahaha sema sikuzihifadhi
Lakini kuna mdada mmoja anazo nimemsahau jina
Bahati yaoHahahaha sema sikuzihifadhi
Lakini kuna mdada mmoja anazo nimemsahau jina
Nigee na mimi hizo picha niwaone
Yaan unaweza cheka zimia siku nikizipata nakutumia huwezi amin wanavyoandika humu na kuponda wanawake [emoji23]
Washa mkaa naja si unajua chakula cha kupika kwenye mkaa hakihitaji mbwembweUnapika? Njoo unipikie tuthibitishe maneno yako mkono mtupu haulambwi