miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
[emoji28][emoji28]Ahhahahahahah aisee kweli tutamuomba mchina aongeze filter hahahaha
Asilimia kubwa ya wadada wa JF ni wabaya aisee, wabaya Haswa, mimi ushauri wangu ni huu.. Mkiwa huko mitaani naombeni muwashawishi wadad wazuri wajiunge na hili Jukwaa!
Khan!
Ukisikia ubinafsi nambari one ndio huu..[emoji3][emoji3]Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.
Wamwage mapovu yote hapaWafunguke kadri wawezavyo hatutaki shobo kwenye nyuzi zingine Huu ni maalumu kwa akili yao
Kua humu tumejaa wabaya?Mimi naweza kuwa shuhuda mzuri wa hili.
NdioUnataka tamu?
Kweli hii ni fupi maana baada ya salamu ukatoa ujumbeKwakuwa Coment zinatakiwa ziwe fupi fupi, basi kwa ufupi kabisa "Acheni Umalaya"
Zangu ziko poa! Vipi za Moro?Karibu za toka Jana mamy
ππππNa sisi j4 tufungue wa kwetu kama wenyewe hawataki kumwaga mapovu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila nahisi wanaongelea ubaya wa suraMm hapa mmojawapo Mbilikimo hadzabee origina
Hakikaaa....huyo kijana hajakutana na vyombo vya humu,binafsi nakubali kuna watoto kama wanne humu wanaogea tui la nazi[emoji23][emoji1787]Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.
Comments fupi fupi na msisahau kifungua na kifunga semi