Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.
Hakikaaa....huyo kijana hajakutana na vyombo vya humu,binafsi nakubali kuna watoto kama wanne humu wanaogea tui la nazi[emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom