samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Tatizo lenu mnachagua sana, mpaka mnaokota mawe badala ya dhahabuMie pia napitia comments hapa nione wanaboreka na nini
Shemeji hahahahah
Nakupitia twende pestanaaEeeh nipo Dom now nimeondoka midaa ya saa 5 Moro.
Tatizo lenu mnachagua sana, mpaka mnaokota mawe badala ya dhahabu
Nakupitia twende pestanaa
NiitafuneUifanyaje?
Roho mbaya hio.Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta. Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahaaaRoho mbaya hio.
Kamanda ulivyoitikia haraka, kama vile umenig'hiniziwa usoni...[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]Ndio