samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Mnakaza sana huko PM[emoji51][emoji51][emoji51] legezeni kidogo[emoji12]