Ndio ndio...ngozi nyororo sana,kama hawaishi jiji la makonda vileDuh! Tui la Nazi?
Fungueni pm mmeambiwa
Google tu mwaya maana hao wa tui la Nazi sijui wanafananiaje bora angesema wanaogea mafuta ya kulaπNgoja nigoogle huenda nikapata mfanano wa tui la Nazi
Au tusubiri tupewe jibu
Mamy wewe kafukue makaburi yake utapata jb ndege wanaofanana huruka pamoja hahahaaaaaaaaa
Nakazia na mm akikutumia unipunguzie nikalipie matairi yangu ya jeep niliyoagiza US.
Waache kufungua nyuz na kusema wako kilimanjaro hoteli,Golden hotel n,k mara ana tiket ya ndege anataka akale bata zenji kumbe yuko tandale kwa tumbo.
Ukisikia ubinafsi nambari one ndio huu..[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanauguaKumbe mnatesekaga wadada wakiwa viwanja mnavyoviogopa? Wallah tungekua tunafungua nyuzi za hivyo mbona mngekoma maana tunaenda sana huko basi tuu
Niunganishe nao Shem wanipe darasa..ngozi nyororo naitaka ivoooNdio ndio...ngozi nyororo sana,kama hawaishi jiji la makonda vile
Jifanye tu hutaki...Hahahaha unakiuka masharti ujue
Ndege wanafananao huruka pamoja njiwa hawezi ruka na kunguru poriSio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamanda ulivyoitikia haraka, kama vile umenig'hiniziwa usoni...[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]
Mi naomba Demiss ageuke kule kwa avatar yake atuangalie. Masuala ya kuonyeshana migongo ni uchoyo tu.Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
πππππ joji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu mkuu, udenda unatiririka hapa kama maji ya bwawa la stigilasi joji
Huyu nae vpπππNan ateseke kwa ujinga huo,Pita hiviπKumbe mnatesekaga wadada wakiwa viwanja mnavyoviogopa? Wallah tungekua tunafungua nyuzi za hivyo mbona mngekoma maana tunaenda sana huko basi tuu