Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Ngoja nigoogle huenda nikapata mfanano wa tui la Nazi

Au tusubiri tupewe jibu
Google tu mwaya maana hao wa tui la Nazi sijui wanafananiaje bora angesema wanaogea mafuta ya kula😂
 
mdada anayeitwa chai chapati mbili anawatia aibu wanawake wenzake kuweni nae makini[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umepata mama
Nakazia na mm akikutumia unipunguzie nikalipie matairi yangu ya jeep niliyoagiza US.
 
Kumbe mnatesekaga wadada wakiwa viwanja mnavyoviogopa? Wallah tungekua tunafungua nyuzi za hivyo mbona mngekoma maana tunaenda sana huko basi tuu
Waache kufungua nyuz na kusema wako kilimanjaro hoteli,Golden hotel n,k mara ana tiket ya ndege anataka akale bata zenji kumbe yuko tandale kwa tumbo.
 
Uku pamevamiwa kama fb yaha nyuzi za kipuuzi zinapata wachangiaji wengi. Uzi gani sasa huu [emoji41]
 
Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.
Ndege wanafananao huruka pamoja njiwa hawezi ruka na kunguru pori
 
Kamanda ulivyoitikia haraka, kama vile umenig'hiniziwa usoni...[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha tu mkuu, udenda unatiririka hapa kama maji ya bwawa la stigilasi joji
 
Mimi nawasaidia kwa kuanzia

"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"


Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.

Location: Star baber shop Dodoma.
Mi naomba Demiss ageuke kule kwa avatar yake atuangalie. Masuala ya kuonyeshana migongo ni uchoyo tu.
 
Back
Top Bottom