APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
ndo chanza hiko mkuu..
Kwa hiyo mkuu cha kwanza ni kutafuta shekeli kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mkuu cha kwanza ni kutafuta shekeli kwanza
[emoji3] [emoji3]Ningekuwa na uwezo hii comment yako ningeifuta hadi kwenye server za jf.....
![]()
Mtu anatafuta hela week nzima halafu hela anaenda kuitumia siku moja tu na demu
samahani mazee..nlishndwa kushare material nliyonayo humu....liko kTIKA format ya pdf....whatsaap 0766485139 buree...nakutmia ata dk mbili haziishi..those killer techniques is ABOUT MIND CONTROLLING PROGRAMSMaujanja sasa mkuu yalete
Vyote vinalipa kimtindo ila inategemea na msimu ulolimia na soko litakavyokutana na mazao husika ukitaka tikiti upige hela lima kipindi litatoka kiangazi hapo utaona kazi inavyokulipa, ila likitoka na mvua hapo ni presha tupu ukirudisha hela shukuru munguWakuu kati ya kilimo cha matikiti na matango kipi kinalipa??
Shukran mkuu ....Vyote vinalipa kimtindo ila inategemea na msimu ulolimia na soko litakavyokutana na mazao husika ukitaka tikiti upige hela lima kipindi litatoka kiangazi hapo utaona kazi inavyokulipa, ila likitoka na mvua hapo ni presha tupu ukirudisha hela shukuru mungu