Wanaume wa JF tuna nini lakini

Kisa demu wako kalalamika umekuja kuanzia na uzi kabisa.. Empty Set kabisa
 
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
hahaa Jamaa katafuta sympathy kutoka kwa wanawake kwa njia yakutuponda wanaume amesahau kuwa hao wanaume ndio waume wa hao Dada zake anaojifnya kuwatetea na kujaribu kuwachonganisha na waume zao ...
mwisho wa siku hao wanawake wamemgeukia yeye
 
Humu hajulikani mwanaume nani na mwanamke nani kwahyo sio thread zakuwaponda wanawake zinaanzishwa na wasiojulikana.kwahiyo si sawa kusema wanaume wanazianzisha kwakuwa hauna ushaidi aliepost ni mwanaume au mwanamke.pia hata wewe hatuna ushahidi wa wewe ni mwanamke au mwanaume.
 
Akinitukana tu mtu nakujia pm kaka.
 
Na wewe ungemfungulia sredi za kuponda wanaume..Huyo rafiki yako naye anacatch mafeeling fasta..Humu sio wote wanaoingia na akili zao zote..Sio kila kitu cha kuchukulia serious..
My baby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…