Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
"nitoke vipi?"Tumegundua janja zako,unajifanya unawatetea kumbe ndo janja zako ili wakuonee huruma na ww uanze ligi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"nitoke vipi?"Tumegundua janja zako,unajifanya unawatetea kumbe ndo janja zako ili wakuonee huruma na ww uanze ligi
[emoji706][emoji706][emoji706]Hivi kwanin thread nyingi humu ni za kuwaponda wanawake? Mara ooh wana iq ndogo mara oooh mnaoMBA omba hamuolewi yani hadi unajisikia huruma me ssijawahi kugundua ila jana nlikua nimekua na rafiki angu mmoja wa kike huku tunaa anglia tu nini kimejiri mtandaoni basi akashangaa sana kunikuta nina Acc Jf akasema kamwe hawezi kufungua Acc humu sababu humu ni mtandao wa ku ponda na kutukana wanawake. NiliBisha kidogo akanifungulia thread kama 10 akasoma moja moja hadi nikaona aibu. Mods shughulikieni hili...hatuwezi kuishi hivi wakuu.
Update.
Ukitaka kujua identity ya anaekutukana ni-pm kwa wanawake tu lakini... heheheheeh
Akinitukana tu mtu nakujia pm kaka.Hivi kwanin thread nyingi humu ni za kuwaponda wanawake? Mara ooh wana iq ndogo mara oooh mnaoMBA omba hamuolewi yani hadi unajisikia huruma me ssijawahi kugundua ila jana nlikua nimekua na rafiki angu mmoja wa kike huku tunaa anglia tu nini kimejiri mtandaoni basi akashangaa sana kunikuta nina Acc Jf akasema kamwe hawezi kufungua Acc humu sababu humu ni mtandao wa ku ponda na kutukana wanawake. NiliBisha kidogo akanifungulia thread kama 10 akasoma moja moja hadi nikaona aibu. Mods shughulikieni hili...hatuwezi kuishi hivi wakuu.
Update.
Ukitaka kujua identity ya anaekutukana ni-pm kwa wanawake tu lakini... heheheheeh
My babyNa wewe ungemfungulia sredi za kuponda wanaume..Huyo rafiki yako naye anacatch mafeeling fasta..Humu sio wote wanaoingia na akili zao zote..Sio kila kitu cha kuchukulia serious..
Sisi wote wanaume eeh.Humu hamna wanawake usidanganyike Na avatars