Wanaume wa JF tuna nini lakini

Wanaume wa JF tuna nini lakini

Kisa demu wako kalalamika umekuja kuanzia na uzi kabisa.. Empty Set kabisa
 
Hivi kwanin thread nyingi humu ni za kuwaponda wanawake? Mara ooh wana iq ndogo mara oooh mnaoMBA omba hamuolewi yani hadi unajisikia huruma me ssijawahi kugundua ila jana nlikua nimekua na rafiki angu mmoja wa kike huku tunaa anglia tu nini kimejiri mtandaoni basi akashangaa sana kunikuta nina Acc Jf akasema kamwe hawezi kufungua Acc humu sababu humu ni mtandao wa ku ponda na kutukana wanawake. NiliBisha kidogo akanifungulia thread kama 10 akasoma moja moja hadi nikaona aibu. Mods shughulikieni hili...hatuwezi kuishi hivi wakuu.

Update.
Ukitaka kujua identity ya anaekutukana ni-pm kwa wanawake tu lakini... heheheheeh
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
hahaa Jamaa katafuta sympathy kutoka kwa wanawake kwa njia yakutuponda wanaume amesahau kuwa hao wanaume ndio waume wa hao Dada zake anaojifnya kuwatetea na kujaribu kuwachonganisha na waume zao ...
mwisho wa siku hao wanawake wamemgeukia yeye
 
Humu hajulikani mwanaume nani na mwanamke nani kwahyo sio thread zakuwaponda wanawake zinaanzishwa na wasiojulikana.kwahiyo si sawa kusema wanaume wanazianzisha kwakuwa hauna ushaidi aliepost ni mwanaume au mwanamke.pia hata wewe hatuna ushahidi wa wewe ni mwanamke au mwanaume.
 
Humu hajulikani mwanaume nani na mwanamke nani kwahyo sio thread zakuwaponda wanawake zinaanzishwa na wasiojulikana.kwahiyo si sawa kusema wanaume wanazianzisha kwakuwa hauna ushaidi aliepost ni mwanaume au mwanamke.pia hata wewe hatuna ushahidi wa wewe ni mwanamke au mwanaume.
 
Hivi kwanin thread nyingi humu ni za kuwaponda wanawake? Mara ooh wana iq ndogo mara oooh mnaoMBA omba hamuolewi yani hadi unajisikia huruma me ssijawahi kugundua ila jana nlikua nimekua na rafiki angu mmoja wa kike huku tunaa anglia tu nini kimejiri mtandaoni basi akashangaa sana kunikuta nina Acc Jf akasema kamwe hawezi kufungua Acc humu sababu humu ni mtandao wa ku ponda na kutukana wanawake. NiliBisha kidogo akanifungulia thread kama 10 akasoma moja moja hadi nikaona aibu. Mods shughulikieni hili...hatuwezi kuishi hivi wakuu.

Update.
Ukitaka kujua identity ya anaekutukana ni-pm kwa wanawake tu lakini... heheheheeh
Akinitukana tu mtu nakujia pm kaka.
 
Na wewe ungemfungulia sredi za kuponda wanaume..Huyo rafiki yako naye anacatch mafeeling fasta..Humu sio wote wanaoingia na akili zao zote..Sio kila kitu cha kuchukulia serious..
My baby
 
Back
Top Bottom