Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #521
Sawa vikiwepo tumiaKula raha mama.
Hahahaaaa!! Shenzi zako, kwahiyo wajaluo ndio wabaya?!!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Weeeeee wasukuma sisi wazuriii usinichanganyeee atakuwa mjaluo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huku jf huwa anaandika na kujifanya kama ulimwengu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ahahahahahahah hata sijui weusi tiiiHahahaaaa!! Shenzi zako, kwahiyo wajaluo ndio wabaya?!!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Yaani hadi password umempa!! Kweli G konyo kweli. Sio kwa hilo haba.Sasa ntakuandikia wapi na pm anazisoma shoga nipe mudaa hahahaha
Kwakweli.Ahahahahahahah hata sijui weusi tiii
Nae zake ninazoo sijazidiwa bbado kihivyooYaani hadi password umempa!! Kweli G konyo kweli. Sio kwa hilo haba.
Twende msibani kule kwa uzi wa AgyKwakweli.
Kule nimepita kimya kimya tuTwende msibani kule kwa uzi wa Agy
Maisha haya jamani
Shemejii eeh basi sawa ntakutafutaga.Nimerudi kwa nguvu zote shemeji, me mwenyewe jf kama maji[emoji13] [emoji13]
Navyopenda kutafutwa, hapa nipo macho kodooooShemejii eeh basi sawa ntakutafutaga.
Basi ntakutafuta Shemeji, ngoja nisherehekee Weekend kwanza...!Navyopenda kutafutwa, hapa nipo macho kodoooo
Sooo sad aisee, gone too soon.Maisha haya jamani
Ahsante shemeji, na karibu sanaBasi ntakutafuta Shemeji, ngoja nisherehekee Weekend kwanza...!
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Nimepata mbona bonge la handsome ,uzuri ni vitu vingiiiiipole sana kwa yaliyo kupata.....keep your options open. Kumbe unaagalia uzuri wa sura. Nilidhani ni sisi wanaume pekee tuna angalia uzuri wa sura kwa wanawake kumbe hadi ww(wanawake) na sio show, masculinity,beahaviour maturity,honesty,reality(not pretenders) etc. Ukichagua nazi sana utaangukia koroma. I wonder for sure!