Wanaume wa Jf walivyo!...

Hakika hapo nimekusoma kidogo ila still mwanaume sio sura bali ni mengi ikiwemo kazi(building a better life). Njoo chuga tuonane ndo utajua mtoto wng wa kike anafanana vipi. Tatizo mnatembea na vijana wadogo(mamas' boys) na no exposure. KUna wanaume wengi humu wako fresh sema uliangukia pua. Alafu ukikutana na mtu wa jf ama mzuri au mbaya kwann uyalete humu, what happens in jf stays in jf n what happens in your meetings stays with you. Otherwise bringing it here inaleta taswira ya immaturity. Ni mtazamo tu! BOYS ARE BORN BUT MEN ARE MADE!
 
Kaka hii chit chat bana
 
Uje kuchaji kwangu.... Mwanao kakua siku hizi hata hasalimiii
Shikamoo uncle mweeh
@heaven sent kuna kamjamaa kanakufanya uone wanaume wote rika lako nini?

Niko njiani nakuja kuchaji, acha mlango wazi.
Ha ha kuna walimu ndo kichambo chao kikubwa "kisa unatembea na mibaba basi na walimu wa kiume unawaona kama watoto wenzako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…