Najua mwenyewe, huhuhuuuuu!![emoji85] [emoji85]Dot ya nini? Au unafikir mimi ndiye Ice
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Uncle nisamehe tuAnanion sawa na mmewe sijui nni huyo
Marahaba....Shikamoo uncle mweeh
Ha ha kuna walimu ndo kichambo chao kikubwa "kisa unatembea na mibaba basi na walimu wa kiume unawaona kama watoto wenzako"
Si ndio nakuonea huruma hapa hadi macho yamechoka.Chizi wewe..... Nionee huruma basi wewe
Nakaribia kumaliza udukuzi.Yap mpaka baadae ndo anaingia anasoma tu,kwa mwenzi anaweza post mara mbili
Sina neno mpwa.... Nilihamu uwepo wako tuUncle nisamehe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua mwenyewe, huhuhuuuuu!![emoji85] [emoji85]
Ukitajwa ujue chambo tu kama humu.Nikitajwa kanisingizia
Weeeeeeee komaaaaDah ila huyu chalii anasura ngumu balaa
Khaaa.... Sema nikun'gamulieNajua mwenyewe, huhuhuuuuu!![emoji85] [emoji85]
Hahahaaaa!!! Mtutue walimu[emoji57]Shikamoo uncle mweeh
Ha ha kuna walimu ndo kichambo chao kikubwa "kisa unatembea na mibaba basi na walimu wa kiume unawaona kama watoto wenzako"
Huruma haitoshi fanya namnaSi ndio nakuonea huruma hapa hadi macho yamechoka.
HaahhahaahahNakaribia kumaliza udukuzi.
Dada yako gani?Marahaba....
Hicho ndicho kichambo cha dada yangu
Yaaaani!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuuuuu!!Khaaa.... Sema nikun'gamulie
Kaka hii chit chat bana
Tushaelewana na Douta wakoDada yako gani?
Ndo nakutafutia libibi limoja angalau likufuge tu tujue moja.Huruma haitoshi fanya namna