Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao


kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi

Nilivyosoma paragraph ya kwanza, akili yangu yote ikakimbilia kwa [TAG]Daby[/TAG] nilivyuoendelea mpaka mwisho nikakuta tena unampaka mafuta kwa mgogo wa chupa.
 
Nilivyosoma paragraph ya kwanza, akili yangu yote ikakimbilia kwa [TAG]Daby[/TAG] nilivyuoendelea mpaka mwisho nikakuta tena unampaka mafuta kwa mgogo wa chupa.
Achana na Daby ni fireeeeee
 
Back
Top Bottom