mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Hahaha basi ugua poleBasi mwezio mahandsome ndo gonjwa languuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha basi ugua poleBasi mwezio mahandsome ndo gonjwa languuu
basi hunifai, ngoja nikomae na mziguaMambo ya shekhe siyataki mie
Mama sabrina huyu, pata naye wasaa kidogoNani tena kipenzi?
Hatari kabisaHatari basi.
You sound kama unanijua etii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikutakie siku njema ya wapendao swirr, jioni ntakupitia twende cruiz...pale Mikoch...
Si nimerusha pic yangu banaAsante sana sukari ya warembo achana na huyo Mama Sabrina wa kutamani mwanaume wa kufanana nae sura
Aisee huyo aliyepigwa ban kafanyajeKuwa na moyo mgumu bana,,haya rudi nikuoe mambo matamu
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Komaa nae nipo nampigisha sound mshipa mpaka kielewekebasi hunifai, ngoja nikomae na mzigua
Twende basi kanipe kidogo tuHahaha basi ugua pole
basi utapata zawadi.. nitakupiga hata brush ya ulimi hukoKomaa nae nipo nampigisha sound mshipa mpaka kieleweke
Hivi huwa hamtumiani picha kwanza? Mi hizi suprise huwa sizipendi.hahaaa mkuu umenichekesha kweli,kukutana nje ya JF kuna changamoto aisee,
Brush napenda kiukwelibasi utapata zawadi.. nitakupiga hata brush ya ulimi huko
huko kwa shehe?? mashalaahBrush napenda kiukweli
Nani kapigwa ban?Aisee huyo aliyepigwa ban kafanyaje
Unaleta utani siku muhimu kama ya leo.. Utashinda ndaniEheheh msipaniki ni utani
Achana na Daby ni fireeeeeeNilivyosoma paragraph ya kwanza, akili yangu yote ikakimbilia kwa [TAG]Daby[/TAG] nilivyuoendelea mpaka mwisho nikakuta tena unampaka mafuta kwa mgogo wa chupa.
huyu ni ndugu yangu. mimi na yeye tunasheaNooo weee nilikutaka ukaringa ni zamu ya mshipa tu
Nomeona kama Demiss kapigwa banNani kapigwa ban?