ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
Hiyo picha ya kwanza mbona kama bashite tuu kwahivyo yule jamaa ni handsome na yeye?? Yaan wadada uhandsome munaonaje onaje mie mbona sijui kumtofautisha mwanaume mwenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni muhandsome banaEti mimi nafanana na Harmorapa kweli ???
Teh teh teh😀😀😀😀😀Mbona yuko fresh sana tu!
Sijambodada mzim lkn
Asante jiraniKunywa Maji kidogo jirani!
Hivi umenichoka eeehDada kungfu yako ya baridi hii apa nimekuletea
huyu jamaa kweli haja mpopoa mama sabrina? mana anamsifia kweli,,Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Nakuchokaje kwa mfano nakuletea kile kitu ambacho unapenda haya mambo ya kuvizia jf yamenishinda sipati notification utaniambia notification zikirudiHivi umenichoka eeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa kweli haja mpopoa mama sabrina? mana anamsifia kweli,,
doctor ulimwengu fanya yako
Walaa niliilaza ndani tu.Rafiki jana chura imefanikiwa kuzinduliwa?[emoji125][emoji125][emoji125]
Baki hapa embu.Nakuchokaje kwa mfano nakuletea kile kitu ambacho unapenda haya mambo ya kuvizia jf yamenishinda sipati notification utaniambia notification zikirudi
Mwenzangu nshavizia mpaka nimechokaaa...Nakuchokaje kwa mfano nakuletea kile kitu ambacho unapenda haya mambo ya kuvizia jf yamenishinda sipati notification utaniambia notification zikirudi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mwenzangu nshavizia mpaka nimechokaaa...
Mods, mkimaliza kusoma notifications zangu mnitumie basi na mie
Nabakijeee jf bila notification hainogi mtu upo kama kipofuBaki hapa embu.
Yaan mpaka hasiraMwenzangu nshavizia mpaka nimechokaaa...
Mods, mkimaliza kusoma notifications zangu mnitumie basi na mie
hahahaha,, kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe mzigua90 una frog,Walaa niliilaza ndani tu.
Malcom upo wapi juu au chini kwa hamo? Achana na hayo engine usijichoshe