Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hana ruksa ya kuongeza nakab mpk unyayo[emoji12]Ongeza na kwangu pia dear
Vizuri kula na wenzio shoga.hana ruksa ya kuongeza nakab mpk unyayo[emoji12]
Afadhali. Ngoja nimtoe na Mama Sabrina nibaki mwenyewe.[emoji15] [emoji124] mzigua nimebwaga manyanga cc Rogie
Hebu weka nioneNaomba nijitoe muhanga naweka picha yangu halisi kama kiwakilishi cha sisi wanaume wa JF tulivyo katika uhalisia wetu.. Wanaounga mkono walike. . likes zikifika 10 tu saa moja kamili nitaweka picha na nitaiondoa saa moja na dakika 3
haha hapa hatuli sote shoga anguVizuri kula na wenzio shoga.
haha nimegair hatoki mtu hapaAfadhali. Ngoja nimtoe na Mama Sabrina nibaki mwenyewe.
WoooiYaan mpaka hasira
Why not???[emoji23]You sound kama unanijua etii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha sawa mama Sab [emoji23][emoji28][emoji23]Hata kabla huwa tunawaona kama hamorapa tunawavumiliaga tu
Siku hizi unachelewa sana weweHahaha sawa mama Sab [emoji23][emoji28][emoji23]
Kwa style hii sitaki kukutana na jinsia ke yeyote wa humu JF, hapana aiseee [emoji23][emoji28][emoji125][emoji125]hahaaa mkuu umenichekesha kweli,kukutana nje ya JF kuna changamoto aisee,
Kwa style hii sitaki kukutana na jinsia ke yeyote wa humu JF, hapana aiseee [emoji23][emoji28][emoji125][emoji125]
Majukumu mama Sab...ndio naingia home sasa hivi, am so ekzosted yani [emoji30][emoji30]Siku hizi unachelewa sana wewe
Na naona hakuna mwenye kuvumilia kubaki kimya, niliona uzi moja jamaa eti alijizuia wee akashindwa ikabidi aandike tu uzi hahahaukikutana na mtu nje ya JF,unakua huna Amani,sijui leo ataniandika,kila siku ikipita huna Amani,sijui leo ,sijui kesho unakaa una count days kuangalia kila siku kama umeandikwa hahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaaa ya nini yote hayo....😀😀😀
Hahaha mwenzako ameongea ukweli wa moyo muache bwanaUsinitibue vuzii,tukichambwa wala hawa watu hawatuteteii
Hofu yanini sasaukikutana na mtu nje ya JF,unakua huna Amani,sijui leo ataniandika,kila siku ikipita huna Amani,sijui leo ,sijui kesho unakaa una count days kuangalia kila siku kama umeandikwa hahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaaa ya nini yote hayo....😀😀😀
Anatufukuzia mawindo yetu huyu [emoji20]Mama sabrina, umeamua kumaliza kabisa, si ubakishe na ya siku nyingine, wadada wataogopa kukutana na wakaka wasiowafahamu kwa mara ya kwanza.