Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Aaaah we pambana hapa hapa tu huko pm wamefunga,ukishaeleweka hapa ndio pm kunaendeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila siku hizi kazi ni ngumu sana
[emoji16][emoji16][emoji16]Pm iko wazi ila hakuna kitu!nimeona kufunga ni kama sijiamini vile!!mi naacha tu!!
Sijapaki basi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Woow!! Na sisi tunakupenda sana Demiss sababu unajielewa sana na unajua fake and real one...coz real discover real.

Hata zamani nilipokuwa mnene kama Le mutuz nilikuwa navaa shati kubwa la njano then asubuhi nikienda kwenye mitkasi yangu watoto wananikimbilia wakidhani ni School Bus imefika kumbe ni mkali nimevaa shati kubwa la njano nakatiza [emoji23] [emoji23] ....but still nilikuwa najiamini sana...mwanaume confidence bhana.

Nimefurahi kuweko kwenye list yako hun!

Kisses and hugs![emoji176]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Charm decor wee... Asprin number kumi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…