hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
haaaaha neno Utani " limenipatia ahueniKwani nina ukimwi mimi?
Hahahaaaa I am Ngabu the lothario baby.
Anywho, huu ni utani tu. Don’t take it too seriously.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaha neno Utani " limenipatia ahueniKwani nina ukimwi mimi?
Hahahaaaa I am Ngabu the lothario baby.
Anywho, huu ni utani tu. Don’t take it too seriously.
Nammiss jamani yaan siku zile jf imepotea nikasema Iceman 3D wangu wapi jamani ,sasa namsaka nyumba kwa nyumbaHaaaaa subiri ligi zirudi utamuona tu
hongera mzee baba,,, kwa kukamata mtoto jj,, [emoji23] [emoji23]Aaaah we pambana hapa hapa tu huko pm wamefunga,ukishaeleweka hapa ndio pm kunaendeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila siku hizi kazi ni ngumu sana
Sanaa!Mimi nkpigwa ban namis kuchangia ila watu mhimu wote...nnao chobingooo!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] ban uwa ni tamu sana et
Michael Kors inakuhusu...Naongelea niliowaona miee mkwe. Ngabu kwa mie yuko mbele kabisa.
daaahh wewe jamaa mzoefu sana aiseeHaaaaa subiri ligi zirudi utamuona tu
kazi ngumu kwa nn?Aaaah we pambana hapa hapa tu huko pm wamefunga,ukishaeleweka hapa ndio pm kunaendeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila siku hizi kazi ni ngumu sana
Kesho sijasahau bina[emoji41][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91]kama kawaaa
Pochi tafadhali [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Michael Kors inakuhusu...
[emoji16][emoji16][emoji16]Pm iko wazi ila hakuna kitu!nimeona kufunga ni kama sijiamini vile!!mi naacha tu!!Aaaah we pambana hapa hapa tu huko pm wamefunga,ukishaeleweka hapa ndio pm kunaendeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila siku hizi kazi ni ngumu sana
Hahaha yule atakua mbetiji tu,ligi zikiwa active anakuwepo sana humudaaahh wewe jamaa mzoefu sana aisee
Woow!! Na sisi tunakupenda sana Demiss sababu unajielewa sana na unajua fake and real one...coz real discover real.Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga kumuita charm deko.
Baba kijacho unapendwa sana na Warembo wa Jf hunaga makuu kabisa.
Mwifwa
Niseme nini jamani ?Hivi kuna mrembo yeyote Jf hampendi huyu kaka loooh
Kwanza ni mpole
Mkimya
Hana makuu
Ana akili napenda anavyopangua hoja
Mwifwa kaka angu wa faida nakupenda sana sjawahi kuona ukigombana na mtu yeyote hapa aiseee upo vizuri sana.
BAK
Hii id brand kubwa sana yani kifupi unapendeka kwa warembo wa Jf hata sjui uliwazaga nn kujiita bak maana jina tu linavutia.
Humble African
Swagz zako ni balaa unajiamini sana yani hata mtu akikuomba picha yako unatuma tu bila kinyongo unajiamini sana kwa sababu haufake life hongera sanaaa watu kama wewe hapa jf ni wachache sana.
hearly
Huyu member mimi huwa nahisi ni ke maaana tabia yake ya kujichanganya kwenye nyuzi za warembo imefanya kuwa kivutio zaidi kwa totoz yupo vizur sana hata kwenye udaku utamkuta anachochea tu.
Hearly mtani wangu tunagombana tunapatana uko vizuri.
Hazard fc
Mme wa pacha wangu Jolie jolie wewe najua kwa chai hujambo na kujichanganya kwa warembo hauna tofauti na Hearly unapenda kusimama na Warembo wa jf hupendi kabisa tuonewe hongera zako.
Mbabe hunter
Huyu member jaman kwa ushauri mzuri yupo vizur nisipokusifia nitakuwa nakosea sana yawezekana ikawa ni mm peke yangu tu unanivutia kwa heshima uliyonayo na ushauri unaoutoaga ila kuna mrembo mwingine alishasema kuhusu member wewe hongera kwa heshima mkuu .
Asprin
Mchepuko wa Totoz jf Hahahah
Babu usiyezeeka
Ng'ombe hazeeki maini
Demiss Mrs Jr Junior
[emoji102][emoji16][emoji16][emoji16]Pm iko wazi ila hakuna kitu!nimeona kufunga ni kama sijiamini vile!!mi naacha tu!!
Sijapaki basi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kazi ngumu sana,si unaona baadhi yetu tunaleta mambo ya humo tunaanika humu hadharani???kazi ngumu kwa nn?
mshawala sana nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] safiii...attack attack attack hamna kupaki bus[emoji16][emoji16][emoji16]Pm iko wazi ila hakuna kitu!nimeona kufunga ni kama sijiamini vile!!mi naacha tu!!
Sijapaki basi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahahAaaah we pambana hapa hapa tu huko pm wamefunga,ukishaeleweka hapa ndio pm kunaendeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila siku hizi kazi ni ngumu sana
kumbe hujapaki yutong,, [emoji23] [emoji23] kwa hiyo ni kuwa winga kama mbappeeeeeeeee[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Pm iko wazi ila hakuna kitu!nimeona kufunga ni kama sijiamini vile!!mi naacha tu!!
Sijapaki basi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
dah aiseeeh kumbeee ndo maana wanestuka eeeeeh,, ndo yale akina Grace kuweka nyuzi iliyodumu wiki nzima,, full maneno [emoji23]Kazi ngumu sana,si unaona baadhi yetu tunaleta mambo ya humo tunaanika humu hadharani???
Kwa hyo ataukienda wanadhani ni wale wale tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Charm decor wee... Asprin number kumi...Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu: