gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,281
Si taja tu bestKuna wawili wananivutia sana mno.....bahati mbaya hujawataja[emoji53]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si taja tu bestKuna wawili wananivutia sana mno.....bahati mbaya hujawataja[emoji53]
Ayt fam, ngoja nistick arround, i might learn a thing or two.Exactly!! Weka huo mshumaa juu ya Meza uwaangazie macutte wa JF... They need that now.
Some candlelight stuffs.
Na yenyewe yana list yao kuanzia namba moja mpaka 5[emoji16][emoji16][emoji16]pugi imeleta mamboo
Humu sote makini isipokua kila mtu ana perception zakee....!!NilichoJIFUNZA ktk huu Uzi na ule wa wadada makini JF ,ni kwamba wale wote wanajiona mastaa JF ,sijaona wakitajwa wawe wa kaka wala wadada ,cjui tatizo nini?
Hahaha ule wa matajiri wa JF hope ulitajwa au vipi Mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] kila shetani na mbuyu wake
Inabidi ujue mi crush wako Kana...Okay, here comes sukari yao!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Acha nikaanzishe uzi wa "JF no bodies". Ambao tupo tupo tu, flying under the rader!
[emoji119] [emoji119]
Ah ah ah ah ah ah comment yako imenifanya nicheke sanaMnanivunja mbavu
Sikatai sawa ndo lishaingia mojaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]hahaha yakija mashuti 50 moja lazima liingie tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ngojea wa Pugi mzee baba huenda tukawemo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha ule wa matajiri wa JF hope ulitajwa au vipi Mkuu
Antonio ni mtu poa mbona hanaga shida baas tu[emoji16][emoji16][emoji16]Ha ha ha ha kanichekesha.
Kaka wa watu kaona hajatajwa afanyeje....ila na yeye ni mwema basi tu kasaulika
My bro from another momNilimsahau Don clericuzoo...list iko poaaa!!!
Mwambie awataje tu si [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Na yenyewe yana list yao kuanzia namba moja mpaka 5
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili neno shunie huyo na mzigua ndo wao niliwasikia![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ulitoa wapi hili neno
Demiss mbaya wewe Unanisahaulia MTU wetu.Mpaka watu Wanapigana Kwa jili yake??Oooo ngoja niedit
Halafu mbona kama naijua hii I'd [emoji16]
Awww!! It gives great joy kuona unatambua matumizi ya kichwa changu...Mimi sikubali kichwa changu kitumike kwa matumizi ya kuvalia helmet...Najaribu kwa wastani kufikiri..Kaka yangu nakukubali sana pia. Sikubali sura wala swagga zako ila ubongo wako
Kuna mtu kaja humu sijui kama hatuli ban[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Na yenyewe yana list yao kuanzia namba moja mpaka 5
Kumbe yarabiii mzigua na shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili neno shunie huyo na mzigua ndo wao niliwasikia![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu mtu namkubali kama ninavyokukubali wewe. Ni mgodi unaotembea@KANA mtu pekee ninaemiliki namba yake ya simu mule JF.. Sikusoma nae wala sijawahi kumcheck live ni mshkaji wa JF but ni mshkaji naemkubali na kumuelewa.
Siku zote ninakuambiaga una mshumaa tatizo unauwashiaga chini ya Meza... Demiss hawezi kuuona na kukuinclude kwenye hii noble list. Your priceless dude.
[emoji352] always!
Aaaaaw!Inabidi ujue mi crush wako Kana...