Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

NilichoJIFUNZA ktk huu Uzi na ule wa wadada makini JF ,ni kwamba wale wote wanajiona mastaa JF ,sijaona wakitajwa wawe wa kaka wala wadada ,cjui tatizo nini?
Humu sote makini isipokua kila mtu ana perception zakee....!!

Ila Mimi sina kinyongo na mtu yote kwangu heri sina ugomvi wala beef na mtu humu!

Life is too short!!
 
hahaha yakija mashuti 50 moja lazima liingie tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sikatai sawa ndo lishaingia mojaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
 
Kaka yangu nakukubali sana pia. Sikubali sura wala swagga zako ila ubongo wako
Awww!! It gives great joy kuona unatambua matumizi ya kichwa changu...Mimi sikubali kichwa changu kitumike kwa matumizi ya kuvalia helmet...Najaribu kwa wastani kufikiri..

Nimefurahi kusikia unakuwa orgasmed na Maandishi yangu humu JF..nimefurahi.

Pia huwa Nakukubali sana mzigua maana ni miongoni mwa watu ambao sijawahi kukuona umekula ban kijinga JF...unamuheshimu kila mmoja na kumvumilia regardedless what. Kuna ishu moja mtu aliku provoke ingekuwa Mimi ningekula ban but wewe ulihandle in a very claasy and not trashy way.

You are priceless and humble.
 
Huyu mtu namkubali kama ninavyokukubali wewe. Ni mgodi unaotembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…