Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
OK lkn si kuna wanaitwa....Hahaha ,mm binafsi napenda kuwa happy muda wote ,tuko pamoja Rafiki ktk mtazamo huuHumu sote makini isipokua kila mtu ana perception zakee....!!
Ila Mimi sina kinyongo na mtu yote kwangu heri sina ugomvi wala beef na mtu humu!
Life is too short!!
Ban mamaaaaMwambie awataje tu si [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Wingi wake ni mapugi yaani kamekaa kishari Shari tu...kana maana gani? Kamevuma sanaa wiki hii. [emoji23] [emoji23]Ahahahaha Humble ni kamsamiati kapya hata kule kwenye kuprint nyumba unaweza kukatumia tu
Haahahahahhahangojea wa Pugi mzee baba huenda tukawemo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu humu mkitoka jf inakufa wallahAh ah ah ah ah ah comment yako imenifanya nicheke sana
Hahahangojea wa Pugi mzee baba huenda tukawemo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili neno shunie huyo na mzigua ndo wao niliwasikia![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Demiss mbaya wewe Unanisahaulia MTU wetu.Mpaka watu Wanapigana Kwa jili yake??
Sasa huko Si Ndo kupendwa jamani au sijajua maana ya kupendwa Mimi??
Cc
Ngoswe.120
Kuna mtu kaja humu sijui kama hatuli ban[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwani siku ile watu walikula ban?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ban mamaaaa
Thank you kaka angu. Najitahidi sana kuwakwepa wajinga wa humu. Nashukuru pia ni kati ya member ambao sijawahi kula na naikwepa mnoo hata nikitukanwaAwww!! It gives great joy kuona unatambua matumizi ya kichwa changu...Mimi sikubali kichwa changu kitumike kwa matumizi ya kuvalia helmet...Najaribu kwa wastani kufikiri..
Nimefurahi kusikia unakuwa orgasmed na Maandishi yangu humu JF..nimefurahi.
Pia huwa Nakukubali sana mzigua maana ni miongoni mwa watu ambao sijawahi kukuona umekula ban kijinga JF...unamuheshimu kila mmoja na kumvumilia regardedless what. Kuna ishu moja mtu aliku provoke ingekuwa Mimi ningekula ban but wewe ulihandle in a very claasy and not trashy way.
You are priceless and humble.
Humble yaan hilo neno limekuja kwa kasi mno ,linamaanisha watu wapuuzi puuzi tu hawana maana ,nadhani nimepatia nimefupishaa [emoji23]Wingi wake ni mapugi yaani kamekaa kishari Shari tu...kana maana gani? Kamevuma sanaa wiki hii. [emoji23] [emoji23]
Nakupenda sana wew mama msalimie shemeji yangu G[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu humu mkitoka jf inakufa wallah
Natafuta maneno sahihi ya kukunadi nayakosa...!Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu kaja humu sijui kama hatuli ban[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
mkuu uko jikoni nn?! siku ile nikashangaa tu uzi umefutwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Kweli tena simuelewi elewi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good boy[emoji3][emoji3]My bro from another mom
Tulia mwaya.Potezea .Mimi nimeamua kuwapotezea kama siwaoni.Hayo ya Ban achana nayo ni mazito[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwani siku ile watu walikula ban?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
@amu aaaaarg aje bana nataka niwape usimamizi wa ndoa yangu[emoji23]Mwanaume wangu akili kubwa hajatajwa nashukuru sana,maana ningepata kapresha,bae najua unasoma hapa tulia hivyo hivyo