- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Sometimes your weakness might be your strength...! Bed tennis na mtoto ndicho kinachofuata.
Bon appetite my bwai! [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Sometimes your weakness might be your strength...! Bed tennis na mtoto ndicho kinachofuata.
Bon appetite my bwai! [emoji23]
Sijakutenga,sijakuona mamii upoKumbe Na wewe umenitengaa eeeh????
Huku ni chit chat...mods shouldn't take everything in a serious note!!!
Mbea tu huyoo hana lolote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]mkuu we spy bila shaka [emoji23]
Mm Niko sehemu masaa kadhaa nyuma ya huko kwenuLikianza nishtue
Hapana I'd tuhahah... unaijuaje... yani unanijua in person auuuuu ndomana nasema unanitisha hahahah
Nimejaa tele mwaya nalishwa tu Ninenepe kidogo ( maaaana)Sijakutenga,sijakuona mamii upo
Nakuona mdogo wangu umeamua kutembelea nyota za wanaozubaa! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali nimetulia..
Mbea tu huyoo hana lolote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
Kiuno cha nyiguKama alivyosema hapo mdada, mtu asiye tulia akili zake zipo juju kama kiuno cha nyigu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja niache tu maana linafurahishaWewe unavyolitaja linazidi kuchekesha zaidi
Pochi tafadhali [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana I'd tu
[emoji23][emoji23][emoji23]nyigu unamjua vizuri? Ulishaona katulia yupo jujuu tu muda woteKiuno cha nyigu
hahaa Nyani Ngabu " kesha toa angalizo " kuwa karibia "nusu "na robo ya " madada wa humu " amewala '" so nipo kitako namsubiri" shemeji yako'' anieleze kwa herufi kubwa" asinifiche " aisee"" kama vipi " kesho nipitie hospital" nikaanze sindano" za PEP "" sidhani kama nitkuwa nimechelewa sana aisee"" Nyani Ngabu ndio nini kutaka kutuuwa kwa pressure mkuu ""?
Hapo sawaahahah.... afadhari maana ulianza kunitisha ujue.... ila lazma uijue maana sinipo jf kitambo sema tu huwa ni read only mara chache sana huwa nacomment
Hahaaaaaa bruv najaribu kujipa moyo tu..Nakuona mdogo wangu umeamua kutembelea nyota za wanaozubaa! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maisha mepesi tu!
Kwa lipi?Rudi unitake radhi