Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

hahaa Nyani Ngabu " kesha toa angalizo " kuwa karibia "nusu "na robo ya " madada wa humu " amewala '" so nipo kitako namsubiri" shemeji yako'' anieleze kwa herufi kubwa" asinifiche " aisee"" kama vipi " kesho nipitie hospital" nikaanze sindano" za PEP "" sidhani kama nitkuwa nimechelewa sana aisee"" Nyani Ngabu ndio nini kutaka kutuuwa kwa pressure mkuu ""?

Hahaaaaa!

Ngoja nikwambie kitu.

Ah basi nimeghairi. Wanga wengi hapa...
 
Back
Top Bottom