stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Hahahhh.. DuhhHahahaaaa. Ile aayoijua Hajar pekee na hatokaa akaiandika hapa wala kuianzishia uzi rafiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.
Hahahaaa hapana rafiki na mie sinaga mzuka na kuanzisha masiredi rafiki.Hahahhh.. Duhh
Nikajua utaishusha hapa soon
Basi watakao kuwemo humo wana bahati sana
Hahahaha,Kaka safi tu.Vip usafiri mzuri bado unao na nauli zipoje?Kwani dada Demiss ndo umemchumbia?
iweke hapa na picha kabisaKaka hii ya Hajar anaijua yeye na maswahiba zake kama wawili hivi. Na haiko kwenye Seva za jf hii. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi nimechanganya Kati yako na Arusha one.Kuna mmoja alikuwa anatoa update za masuala ya usafir wa mabus humu.Hahahaha,
Tamuuuuu bwana.
Usafiri upi tena huo ???
Upo kama mimiHahahaaa hapana rafiki kwani mie sinaga mzuka na kuanzisha masiredi rafiki.
Itakuwa aiseee. [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huu ni uchokozi kaka.iweke hapa na picha kabisa
Hahahaaa. Mie nilianzishaga kauzi kamoja kwa kaka yangu wa damu DellaPina ila toka hapo. Duuh.Upo kama mimi
Kitengo cha wasoma comments na wachangiaji tuu[emoji16]
Kuanzisha nyuzi mpaka nipate mzuka[emoji3][emoji3]
Sawa unitag bas[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huu ni uchokozi kaka.
Haya twenzetu jukwaa la Sport tukacheck new news za Yanga yetu banaa. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Vip kuhusu Dimiss?nimekugusa Kwa mtima wako hali?maana sio Kwa kuniambia hivi
Eti Dada Vinci....hahaaa huyo sasa ni mchokozi aises
Ila kuna watu humu wananzisha nyuzi deile[emoji16]Hahahaaa. Mie nilianzishaga kauzi kamoja kama heshima kwa kaka yangu wa Damu della Pina ila toka hapo. Duuh.
Sijui kama itatokea tena. Wacha tuchangiage tu kwenye nyuzi za watu inatosha.
Maana wanasemaga "sio lazima wote tuimbe wengine wabaki kuwa mashabiki" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. LolIla kuna watu humu wananzisha nyuzi deile[emoji16]
Na zinatrend hatari[emoji16]
Sawa Kaka yangu.Nikajua una doubt Ile kumjulia hali.Kuna muda alilalamika jino.Kumbe ulikuwa unanijalia hali, asante sn ubarikiwe.Hapana mdogo wangu,
Wala simjui huyo mtoa mada,
Nadhani umenielewa vibaya bwana
Usijali Kaka. Natumai umeamka poa.
Nimeamka poa dada wangu wa hiari...Usijali Kaka. Natumai umeamka poa.
Uwe na Weekend njema Kaka. [emoji120] [emoji120]
Amiin. Tubarikiwe Kaka.Numeamka poa dada wangu wa hiari...
Weekend njema kwako pia
Pamoja sana[emoji41][emoji41][emoji41]Amiin. Tubarikiwe Kaka.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahaaaaa watu wakorofi aisee..Eti Dada Vinci....