Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Hahahaaaa. Ile aayoijua Hajar pekee na hatokaa akaiandika hapa wala kuianzishia uzi rafiki.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.
Hahahhh.. Duhh
Nikajua utaishusha hapa soon
Basi watakao kuwemo humo wana bahati sana
 
Hahahaha,
Tamuuuuu bwana.
Usafiri upi tena huo ???
Basi nimechanganya Kati yako na Arusha one.Kuna mmoja alikuwa anatoa update za masuala ya usafir wa mabus humu.

Vip kuhusu Dimiss?nimekugusa Kwa mtima wako nilivomjulia hali?maana sio Kwa kuniambia hivi
 
Upo kama mimi
Kitengo cha wasoma comments na wachangiaji tuu[emoji16]
Kuanzisha nyuzi mpaka nipate mzuka[emoji3][emoji3]
Hahahaaa. Mie nilianzishaga kauzi kamoja kwa kaka yangu wa damu DellaPina ila toka hapo. Duuh.

Sijui kama itatokea tena. Wacha tuchangiage tu kwenye nyuzi za watu inatosha.

Maana wanasemaga "sio lazima wote tuimbe wengine wabaki kuwa mashabiki" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaa. Mie nilianzishaga kauzi kamoja kama heshima kwa kaka yangu wa Damu della Pina ila toka hapo. Duuh.

Sijui kama itatokea tena. Wacha tuchangiage tu kwenye nyuzi za watu inatosha.

Maana wanasemaga "sio lazima wote tuimbe wengine wabaki kuwa mashabiki" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila kuna watu humu wananzisha nyuzi deile[emoji16]
Na zinatrend hatari[emoji16]
 
Eti Dada Vinci....
Hahaaaaa watu wakorofi aisee..
Btw naheshimu haki yao ya kutoa maoni, wanahaki ya kusema vyovyote wapendavyo kuhusu mimi ila ukweli utabaki pale pale am a Man and am proud of this. Ambaye haamini kama mimi ni dume anipe tu offer ya ppchi.
 
Back
Top Bottom