Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

asante amu
 
Wanasemaga wanasiasa kama sisi hatuko Romantic etii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwao ambao ni Class A++++
Dah!! Kumbe huku kuendekeza mada za kisiasa ndo kunafanya tuonekane hatuna swaga!!!

Lakini kwa mbaaaaaali; kama kuna kaukweli flani hivi manake ukitoa "hi" kwa totozi; akili yake yote anaipeleka kwa Humphrey Polepole... !
 
Bwahahahahah
 
Jaman kama nimeshindwa kutokeza kwenye top 10 yanaopendwa basi wadada mkiandaa ile ya wanaochukiwa japo msinisahau jaman. Hakuna kitu kinachouma kama kukosa sifa yoyote maishani[emoji27][emoji27][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…