Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
asante amuNawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu