Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
asante amu
 
Wanasemaga wanasiasa kama sisi hatuko Romantic etii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwao ambao ni Class A++++
Dah!! Kumbe huku kuendekeza mada za kisiasa ndo kunafanya tuonekane hatuna swaga!!!

Lakini kwa mbaaaaaali; kama kuna kaukweli flani hivi manake ukitoa "hi" kwa totozi; akili yake yote anaipeleka kwa Humphrey Polepole... !
 
Bwahahahahah
 
Back
Top Bottom