Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

We jamaa mbona nikisoma katikati ya mistari naona kama unamtongoza huyu mrembo kijanja?
 
Naaacha maana nasikia unatumia tecno hupati tabu kuscreenshort
Dah yaani mi natumia tecno? Hili tusi ni bora unitukane "mwanaume wa Dar mwenye kibamia kisichotahiriwa chenye kasi ya kumwaga kama jogoo chotara wa upareni "
 
Waooooh hakuna asiyempenda Mwifwa
Kwa jinsi nilivyo wa kawaida kabisa hata ukikutana na mimi barabarani mtu huwezi kushtuka, haya yanayosemwa humu ni ya kweli?[emoji85]
 
Teh teh teh,
Chige huwezi amini walishawahi kusema eti mimi ntakuwa libabu likada la CCM....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo siku Totoz ya JF imeji-mix kwa member mwaminifu wa jukwaa la siasa:
Totoz: Baby, nini kwani... yaani leo sijui upo-upoje!
Njemba ya Siasani: Jiwe bhana, Jiwe anazingua kishenzi
JF Totoz: Jiwe? Jiwe ndo nani baby wangu?
Njemba: Si Faru John
Totoz: Faru John?!! Mbona unazidi kunichanganya bwana, ah!
Njemba: Na wewe unazingua sasa! We humjui Faru John?! Faru John Baba Jesca?
Totoz: Anakaa wapi huyo Baba Jesca na amekufanya nini baby wangu?!
Njemba: We acha habari zako bhana... we humjui Magu? Magu anazingua kinoma! Jamaa kakomaa na makinikia na Stigla Goji wakati kuna kuna bonge la urithi Mchuchuma na Liganga!!!
Totoz: Mnh!

Ah! Sa' stori gani hizo bhana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…