Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

daaahh hahaa kaazi kweli kweli
 
That’s right ma ninja.

Eti huyu Demiss anataka tucheze mchezo wa mieleka.

I mean....you tell me....huyu si anataka kuliwa tu huyu?

Tutachezaje mieleka bila kuangushana angushana?


hahah... yani hapo hakuna namna ni lazima utamkula tu
 
Mme wako mwenyewe ni mganga wa kienyeji anaona kwenye Radar zake bila hata kutumiwa screenshort. Hata wewe ukiwa na genyee anajua hata kama yupo Paris
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…