Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani acha tu!Anavyolaani hahaha nahis huyo mod ashashikwa hata na malaria [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kamfanya asuse yaani!
Nammis my shunie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani acha tu!Anavyolaani hahaha nahis huyo mod ashashikwa hata na malaria [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayo hayo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]isijekuwa mambo ya pugi[emoji23]
Mkuu wewe tayari?[emoji23]mkuu vuta subra,, utajipigia tu mtoto mkaleeeeee[emoji1]
Foleni haiepukiki maana ipo kila sehemu ama iwe nzuri au mbayaFoleni siwezi mimi,haya endelea kupambana huko kwingine[emoji124][emoji124]
Namheshimu sana atanila tu kwa sasa nasubiria subiria...
Ngoja nianze kujipendekeza anile!
Hahaha kwann mkuu?Huu uzi, naona mbeleni watu watakula ban, muda utajibu
weka screen shoot mzee baba
Itabidi tufanye maana rumazi nazisikia haswaa..Na nyie chezeni mieleka kama anavyotaka kufanya Demiss na mimi.
Naona upo nafasi za juu kabisaNipo siti ya ngapi hapa....
bado sijampata mtoto mkaleeeee,,Mkuu wewe tayari?[emoji23]
kumbe nawewe umeshayapata matokeo ya kuvuta subira" daaah mnatisha wakuu" aisee tupeane hizo ndele basiimkuu vuta subra,, utajipigia tu mtoto mkaleeeeee[emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmasai kaingia disco, sime nje nje! [emoji126][emoji126][emoji126]
Oh yeah....most definitely. Manake ni dhahiri shahiri kuna watu wana vinyongo.
Kama wako sehemu moja sijui kwa nini wasikutane wazabane tu vibao huko.
Manake hivyo ndo ntavyofanya mimi. Ni vitasa tu.
Ngabu kuna watu wanahisi umenila daaah![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dunia hiii!!Namsubiri Demiss aje anipige ngwala ya kimieleka hapa.....
Haki ya mungu should sijawahi ona mchuchu anayetaka kukulwa kihivi....
Asante sana rayna v[emoji173]Bonge la mkaka jf
ban itoke wapi tena
Nimekumbukwa mkuu...nakuona mkuu [emoji23]
Atarudi tu subiri apamiss kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]yaani acha tu!
Kamfanya asuse yaani!
Nammis my shunie