Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Humble yaan hilo neno limekuja kwa kasi mno ,linamaanisha watu wapuuzi puuzi tu hawana maana ,nadhani nimepatia nimefupishaa [emoji23]

Ngoja nikuje pm[emoji23]
Siku hizi umekuwa Honi sigara wa clouds FM au Mwanagenzi viile..![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mnaleta maneno mapya mjini..."pugi" haya bhana nitalitumia huku mtaani kwa wakati wangu. Thanks.
 
Last edited:
Jealousy in the air tonight, I could tell
I will never understand that, but oh well
Been ready, it's real, I don't know 'bout you
 
Back
Top Bottom