Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

hahaaa " umeona " hilo eehh ""?

Nimeona kuna mmoja kaja yuko so concerned na mental health yangu eti!

Teh teh teh hawa watu bana!

Kwenye psychology kuna concept inaitwa ‘projection’.

Nuff said.

Ngoja niendelee kuwatafuna tu mmoja baada ya mwingine.

Hakuna cha kunizuia.

USA baby! Get the strap!
 
Nimeona sehemu watu wamezungumzia kiuno cha nyigu.

My oh my!!

Hicho tu ndo nachoweza kusema kwa sasa.

Sweet memories.
 
Back
Top Bottom