Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahaha hapo kweli we jilalie zako tuWapo wawili . Ngoja nikae kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hapo kweli we jilalie zako tuWapo wawili . Ngoja nikae kimya
Amigo hivi kweli wewe hupendwi na warembo wa humu kweli? Hii list ni batili[emoji53]Ariff... Ama kwa hakika nakuonea wivu kupendwa na mtoto mkali wallah
Tangu ulipo niacha miaka ileee, naona nimekua sipendeki kama Ile nyimbo yetu wahenga.... tehteehhhAmigo hivi kweli wewe hupendwi na warembo wa humu kweli? Hii list ni batili[emoji53]
Naapa wallah... Sijawahi kupata bahati ya muokota dodo chini ya mchongoma.... tehteehhhAmigo hivi kweli wewe hupendwi na warembo wa humu kweli? Hii list ni batili[emoji53]
Nilikuacha au tuliachana? Wewe si ulisema huwezi kuendelea na mimi, unatafuta mvaa bra size 48.Tangu ulipo niacha miaka ileee, naona nimekua sipendeki kama Ile nyimbo yetu wahenga.... tehteehhh
Njoo uniokote mimi, sasa hivi navaa bra..size 52[emoji12]Naapa wallah... Sijawahi kupata bahati ya muokota dodo chini ya mchongoma.... tehteehhh
Sizitaki hizo zenye kusimama hadi uanze kudeki... tehteehhhNjoo uniokote mimi, sasa hivi navaa bra..size 52[emoji12]
Ebu usinifanyie aibu humu, maana tangu nilipo maliza lasaba mwaka juzi, ndio nimeamua kurudia tena maka huu.... tehteehhhNilikuacha au tuliachana? Wewe si ulisema huwezi kuendelea na mimi, unatafuta mvaa bra size 48.
Ndio maana hupendwi na warembo wa jf[emoji57][emoji57][emoji57]Sizitaki hizo zenye kusimama hadi uanze kudeki... tehteehhh
Naomba nilaumiwe kwa kuto kukuokoa kwa hizo makitu kubwa kubwa....hahaahaaa
Haya jiandae na mtihani wa taifa wa kidato cha pili, elimu si unapewa bure [emoji12]Ebu usinifanyie aibu humu, maana tangu nilipo maliza lasaba mwaka juzi, ndio nimeamua kurudia tena maka huu.... tehteehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! Yaani mi simo kabisa!
Mungu anakuona ujue...Haya jiandae na mtihani wa taifa wa kidato cha pili, elimu si unapewa bure [emoji12]
Strictly no advertisement!This is Perfect Competition Market. Wachumi naombeni assumptions zake please.