Ndo siku Totoz ya JF imeji-mix kwa member mwaminifu wa jukwaa la siasa:
Totoz: Baby, nini kwani... yaani leo sijui upo-upoje!
Njemba ya Siasani: Jiwe bhana, Jiwe anazingua kishenzi
JF Totoz: Jiwe? Jiwe ndo nani baby wangu?
Njemba: Si Faru John
Totoz: Faru John?!! Mbona unazidi kunichanganya bwana, ah!
Njemba: Na wewe unazingua sasa! We humjui Faru John?! Faru John Baba Jesca?
Totoz: Anakaa wapi huyo Baba Jesca na amekufanya nini baby wangu?!
Njemba: We acha habari zako bhana... we humjui Magu? Magu anazingua kinoma! Jamaa kakomaa na makinikia na Stigla Goji wakati kuna kuna bonge la urithi Mchuchuma na Liganga!!!
Totoz: Mnh!
Ah! Sa' stori gani hizo bhana...