Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Hakika 😁
Alafu at that time alikuwaga ni Admin Kuna siku tulikutana nakapiga Chabo kwenye simu yake nikaona kumbe naye alikuwaga ni Mod
Sema kweli....??😲😲

Kumbe tulikua tunacheka cheka na wakubwa na hatujui. πŸ€¦πŸΎβ€β™€οΈ

Ila we mkorofi...πŸ˜†πŸ˜†
Ntakuitia mods wakulambe ban ya dakika 10 kwakuchabo simu ya mwenzao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe hata da mau baadae naye atatulia ni suala la muda
πŸ˜†πŸ˜†

Kwani bado kaumri kako chini sana???πŸ€”πŸ˜‚Asije tu akasikia!😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Da mau tatizo lake bado hajajua wanaompenda na wasiompenda
Mwambieni aanze kujipenda kwanza Mwenyewe na wengine watampenda. Sasa Yeye Mwenyewe hajiamini, hajipendi na anajidharau ni Nani atakayempenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…