Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana mnapigwa na panya road na kakakuona wanaume wa daslama.Watu wa shamba bana.. kupigana na wanawake ndio unajiita mwanaume. Mngese kabisa. Yani kitimbua kinakufanya umkate mapanga na mangumi mwanamke? Kitumbua si cha kwake ? Ushamba mwingine wa kijinga sana na mtu anakuwa proud kabisa. Dah
Mkuu kufanya umafia muhimu sana ili kutoa tahadhari kwa wengine, yoyote atakaekusogelea atajua wewe ni nani hapo hawezi kukuletea ujinga jinga. Muhimu tu ukishapiga tukio usiache ushaidi wala trace yoyoteImagine hadi umri huu sijaingia gerezani, ndio nije nipate kifungo cha maisha kwa ajili ya mwanamke aliyeshindwa kujithamini na kujiheshimu. Mungu aniepushie kwa kweli
Huo ni ushamba mzee. Nyapu ni yake. Haummiliki mwanamke hata kama mkeo aisee cha muhimu kama ameamua kukukosea heshima hata ukimpiga namna gani haisaidii sanasana atakuchukia na ataigawa kwa hasira zaidi hadi kitundu huzuni atatoa.Ndo maana mnapigwa na panya road na kakakuona wanaume wa daslama.
Yaani wewe mwanamke wako kuvuliwa chupi ovyo unaona sio kitu cha kupigania?
Kumbe penina muhaya. Kuna wahaya, wairaqwi na warangi kwa mbali wakifuatiwa na wangoni wanawake wa haya makabira ni malaya aisee.Wahaya punguzeni umalaya
Kama wanaume ndo kama wewe basi tumekisha.Huo ni ushamba mzee. Nyapu ni yake. Haummiliki mwanamke hata kama mkeo aisee cha muhimu kama ameamua kukukosea heshima hata ukimpiga namna gani haisaidii sanasana atakuchukia na ataigawa kwa hasira zaidi hadi kitundu huzuni atatoa.
Kama anipendi anikatae na acheze mbali na pesa zangu kama anajiuza aweke wazi tangu mwanzo tukubaliane bei twende geto tukamalizane kila mtu aendelee na mambo yake lakini sio huu utaperi wa wanawake wa type ya penina. Bora wanaume wa kanda ya ziwa, sisi wa kanda maalumu hapo hata kusingekua na kesiHuo ni ushamba mzee. Nyapu ni yake. Haummiliki mwanamke hata kama mkeo aisee cha muhimu kama ameamua kukukosea heshima hata ukimpiga namna gani haisaidii sanasana atakuchukia na ataigawa kwa hasira zaidi hadi kitundu huzuni atatoa.
Sasa unapigania kitu gani we boya? mwanamke? duh ...wakati mimi naonaga nafuu sababu napata sababu ya kumtimua na kumbeba shoga mtu, dada mtu au mama mtuNdo maana mnapigwa na panya road na kakakuona wanaume wa daslama.
Yaani wewe mwanamke wako kuvuliwa chupi ovyo unaona sio kitu cha kupigania?
Enzi zetu sisi. Hata ukienda safari ya mbali. Ukirudi unafikia mjini huko kisha unatuma mtu kupeleka begi lako nyumbani. Au ukikaribia homu unaanza kuimba, hasa kama ni usiku. Hurudi tu vu bin vu usiku maana unaweza hata kufumania. Tulielewa kuwa kuchapiwa kupo. Ndiyo maana hata hakukuwa na umuhimu sana wa kuhakikisha kuwa we ndo biological father. Kama dogo kazaliwa na mkeo basi unakausha tu hata kama ni kopiraiti na mwenyekiti wa kijiji au jirani mwenye kiduka hapo pembeni. Na maisha yalienda.Tatizo ni moja, wazee wetu wa zamani walikuwa hawayasemi madhaifu ya mama zetu ndio maana tumekuwa tukiamini walikuwa perfect. Huku mama zetu wakiongea sana kuhusu baba zetu kwa hiyo tulikua tukiamini wazee wetu ni tatizo hadi tulipofikia umri wa kuingia katika mahusiano ndio tukajua matatizo halisi.
Kiufupi, cheating haijaanza leo au jana, wamama wa zamani nao walisaliti Ila ukimya wa wazee wetu uliwasitiri. Hivyo, inabidi tu ujue mkuu usitumie generalization kuhalalisha maamuzi ambayo ukiyafanya yatakugharimu..
Imagine hadi umri huu sijaingia gerezani, ndio nije nipate kifungo cha maisha kwa ajili ya mwanamke aliyeshindwa kujithamini na kujiheshimu. Mungu aniepushie kwa kweli
Mijadala ufungwe.Hujataja kitu kimoja, na nyinyi punguzeni kupenda kiboya.
Unampenda dada wa gloseri hadi unapata wivu wa kuua? Acheni ushamba kanda ya ziwa
Sisemi dada wa gloseri asipendwe ila ukimpenda Acha na nafasi ya wengine 'kumpenda' mazingira yao ya kazi yanataka wanaompenda wawe wengi . Na ukijiona umekolea kiasi hicho basi muachishe hiyo biashara
Chukua soda nakuja kulipaTatizo ni moja, wazee wetu wa zamani walikuwa hawayasemi madhaifu ya mama zetu ndio maana tumekuwa tukiamini walikuwa perfect. Huku mama zetu wakiongea sana kuhusu baba zetu kwa hiyo tulikua tukiamini wazee wetu ni tatizo hadi tulipofikia umri wa kuingia katika mahusiano ndio tukajua matatizo halisi.
Kiufupi, cheating haijaanza leo au jana, wamama wa zamani nao walisaliti Ila ukimya wa wazee wetu uliwasitiri. Hivyo, inabidi tu ujue mkuu usitumie generalization kuhalalisha maamuzi ambayo ukiyafanya yatakugharimu..
Imagine hadi umri huu sijaingia gerezani, ndio nije nipate kifungo cha maisha kwa ajili ya mwanamke aliyeshindwa kujithamini na kujiheshimu. Mungu aniepushie kwa kweli
Mbona sijaelewa haya maneno yaliyotupwa hapa?Nimeona nitoe tahadhari,
Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti.
Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya ziwa.
Mwanaume wa Kanda ya ziwa huwezi kumwita majina yenu ya danga, yaani mtu wa Geita, Mara, Kagera , Mwanza na Shinyanga ule mali zake then umchanganye na wanaume wengine, hakika hayo ya Goba yatatokea sana.
Mwanaume wa Kanda ya ziwa anahitaji heshima,
Ewe mwanamke usikaririi wanaume wa pwani kuwafulia, kuwapikia, mwanaume uko kwenye Ngoma uje usiku asikufanye lolote, utapigwa na kupigika.
Mwanaume wa Kanda ya ziwa hawezi kuchukulia poa utamaduni wa kushare mwanamke.
Mkiendekeza hayo yatawakuta ya Goba sana.
Ukiwa na mwanaume wa Kanda ya ziwa mheshimu, ukitoka muahe na utii sheria alokupa kuzingatia muda kurejea nyumbani, usidange, piga magoti ukimpa chakula au kingine,
Akiwa anaongea usijibazane nae maana unaweza kula mkofi ukazimia siku mbili.
Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa tuna sababu kuu 3 za kumfanya ya Goba mwanamke.
1. Mwanamke akitoa penzi nje ndoa/ mahusiano. Ukijiridhisha hakuna kuuliza ni aidha ufe au afe yeye.
2 mwanamke mshirikina. ukimkuta mkeo au mpenzi anafanya shiriki hiyo kesi haifiki hata Kwa wazee, namna ya kuimaliza ni kama ya huko Goba
3 mwanamke akimdharau me wake . Hapo adhabu Huwa ndogo kama vibao na viboko kadhaa kama hatakuwa na mdomo, akiwa na mdomo mrefu lolote baya laweza kutokea.
Tujifunze kuwasoma wanaume wa Kanda ya ziwa
Wasalam
😀😀😀😀mkuu chupi kavuliwa yeye na miti kapigwa yeye wewe unakuuma nini mpaka kumuua?? Ukiona hivyo kung'uta mavumbi na ujipe pole kwa kupata mlupoNdo maana mnapigwa na panya road na kakakuona wanaume wa daslama.
Yaani wewe mwanamke wako kuvuliwa chupi ovyo unaona sio kitu cha kupigania?