unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 476
Kwa nini unafurahi wanaume wenzetu wapelekeshwe.[emoji3][emoji3]
Huu ndio wakati WA Dunia kustarehe,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini unafurahi wanaume wenzetu wapelekeshwe.[emoji3][emoji3]
Huu ndio wakati WA Dunia kustarehe,
Wanaume haswa vijana wa kiume tuwe na mjadala mkubwa ni wapi jamii inapokosea kuandaa mtoto wa kiume kuchukua ile nafasi yetu tuliyopewa na God ya "mwanaume utakuwa kichwa".
Kuna mambo personal nimeyaona na yanendelea kufanyika na yamekuwa kama kawaida kwenye jamii ambayo yanampa uanume mwanamke na kumfanya mwanaume kuwa mwanamke.
1. Men kuwa too emotional. Men kutoa machozi kisa manzi kakupiga chini au kakuumiza moyo. Kuwa mnyenyekevu kwa mwanamke "too submissive". Men kutoa misauti ya kudeka, watoto wa kiume mnaita kuwa "romantic".
2. Mtindo wa maisha, ulaji, uvaaji.
3. Kampeni za kumuinua mtoto wa kike na kumsahau mtoto wa kiume zimefanya watoto wa kiume wanaokua kwenye zama hizi kuamini wako sawa.
4. Jando ilimfundisha mwanaume kuwa mwanaume, zama hizi makabila machache yamazingatia.
Ongeza na mengine..
Kwa nini unafurahi wanaume wenzetu wapelekeshwe.
Na ndio maana ckuiz wanaume wanapungua kwa Kasi Sana. Jamii imetusahau kbsa imeamua kuegemea upande wa mtoto wa kike