Habari wadau.
Dini ya kiislam ina mengi mazuri.
Hata swala la kuruhusu mwanaume kuoa wake wanne liliwekwa kwa nia nzuri tu.
Pia swala la kumuacha mke kwa talaka moja mpaka tatu pia ni utaratibu wa kidini.
Shida hizi taratibu zinachukuliwa vibaya na wanaume wa ki africa.
Tazama hii video ya shehe anatoa nasaa kwa bwana harusi harusini.
Maneno anayoyasema hadharani.. kisha tazama wanawake wa kiislam waliopo harusini sura zao zilivyopokea huo ujumbe wa nasaa
Wanawake ndio mama zenu, dada zenu, watoto wenu msisahau kuwaheshimu pia hata kama dini inaruhusu.