Wanaume wa kiislam msitumie dini kunyanyasa wanawake wa kiislam kisaikolojia

Habari wadau.

Dini ya kiislam ina mengi mazuri.

Hata swala la kuruhusu mwanaume kuoa wake wanne liliwekwa kwa nia nzuri tu.

Pia swala la kumuacha mke kwa talaka moja mpaka tatu pia ni utaratibu wa kidini.

Shida hizi taratibu zinachukuliwa vibaya na wanaume wa ki africa.

Tazama hii video ya shehe anatoa nasaa kwa bwana harusi harusini.

Maneno anayoyasema hadharani.. kisha tazama wanawake wa kiislam waliopo harusini sura zao zilivyopokea huo ujumbe wa nasaa

Wanawake ndio mama zenu, dada zenu, watoto wenu msisahau kuwaheshimu pia hata kama dini inaruhusu.

View attachment 2749229
Ambacho hujaelewa nn? Shida yenu mmejaa udini tu hamna lolote
 
Habari wadau.

Dini ya kiislam ina mengi mazuri.

Hata swala la kuruhusu mwanaume kuoa wake wanne liliwekwa kwa nia nzuri tu.

Pia swala la kumuacha mke kwa talaka moja mpaka tatu pia ni utaratibu wa kidini.

Shida hizi taratibu zinachukuliwa vibaya na wanaume wa ki africa.

Tazama hii video ya shehe anatoa nasaa kwa bwana harusi harusini.

Maneno anayoyasema hadharani.. kisha tazama wanawake wa kiislam waliopo harusini sura zao zilivyopokea huo ujumbe wa nasaa

Wanawake ndio mama zenu, dada zenu, watoto wenu msisahau kuwaheshimu pia hata kama dini inaruhusu.

View attachment 2749229
Hapo changamoto Ni kwa anayefikisha, kimsingi huyo ni comedian sio sheikh
 
Hawa watu nimefuatilia mafundisho Yao 90 asilimia ya mahubiri Yao ni mapenzi, mahusiano na mwanamke mbaya zaidi hawana ibada za rika tofauti, wao ibada zao ni Moja kwa watoto na wakubwa, unakuta mtoto mdogo anajazwa mambo makubwa ya ajabu kwa umri mdogo akija kuharibika kwa ku practice Yale mahubiri ya Kila siku anayoyasikia kwa viongozi wake waliosoma elimu iitwayo ILIM basi wanaanza kulalamika kumbe chanzo ni wao wenyewe
Tatizo mnawasikiliza wakina Sheikh kipozeo, nyundo nk halafu mnakuja kugeneralize

Hao wanatafuta attention za watu

Jaribu kudownload hata Quran ya kiswahili halafu uangalie Kama Kuna hayo mafundisho

Uislamu una mafundisho katika kila kitu katika maisha ya mwanadamu,

Pia uislamu unapinga vikali uzinzi na adhabu kwa mzinzi Ni kubwa mno huenda kuliko dini nyinginezo
 
Hawa watu nimefuatilia mafundisho Yao 90 asilimia ya mahubiri Yao ni mapenzi, mahusiano na mwanamke mbaya zaidi hawana ibada za rika tofauti, wao ibada zao ni Moja kwa watoto na wakubwa, unakuta mtoto mdogo anajazwa mambo makubwa ya ajabu kwa umri mdogo akija kuharibika kwa ku practice Yale mahubiri ya Kila siku anayoyasikia kwa viongozi wake waliosoma elimu iitwayo ILIM basi wanaanza kulalamika kumbe chanzo ni wao wenyewe
Wewe pengine ni mhanga wa Mapenzi ndio sababu akili zao zipo kwny ku search mawaidha ya mapenzi

Uislam ni bahari kubwa sana, kuna kila falsafa, lila elimu. ukitaka Mahubiri ya namna ya kupunguza Income gap ya walio nacho na wasio nacho utapata mengi kwny mawaidha ya Zaka, Sadaka, aya zinazokataza dhulma, kupunja watu vipimo kwny biashara

ukitaka mawaidha ya namna ya kuwa na Afya nzuro kwa maana ya nidhamu ua kula, malezi ya familia n.k yapo mengi sana tu…ni wewe kuonesha interest tu

kuhusu Ibada …ibada zipo kisheria na ni lazima kwa mtu mzima na Mtoto anaandaliwa kuwa Mtu mzima hivyo lazima afundishwe kufanya ibada , kuhusu mafunzo mafunzo yanaangalia age…mtoto wa miaka mitano hatumfundishi adabu za kujamiana kwa kuwa sio umri wake lakini muda mchache kabla ya kupevuka lazima afundishwe

Ibada kwa tafsiri yetu na yenu ni vitu viwili tofauti na ndio sababu tunatofautiana
 
Wanaume hao wanapenda kukopa kopaaa kwa amriii, yaani utadhani ndo usipo wapa hutoishi kitaa ama eneo hilo
 
usilazimishe kuleta usawa na mwanaume utaumia bibie mwanaume ni mtawala siku zote na unapaswa kuwa chini yake na kumsikiliza kwa utii wa hali ya juu
Bora unamjibu mtu kwa heshima nami nakujibu ndio maana Mungu aliwapa msaidizi hamuwezi kila kitu
 
Hawa watu nimefuatilia mafundisho Yao 90 asilimia ya mahubiri Yao ni mapenzi, mahusiano na mwanamke mbaya zaidi hawana ibada za rika tofauti, wao ibada zao ni Moja kwa watoto na wakubwa, unakuta mtoto mdogo anajazwa mambo makubwa ya ajabu kwa umri mdogo akija kuharibika kwa ku practice Yale mahubiri ya Kila siku anayoyasikia kwa viongozi wake waliosoma elimu iitwayo ILIM basi wanaanza kulalamika kumbe chanzo ni wao wenyewe
Wewe ni mzushi na muongo. Mimi nakaa kigamboni karibu na msikiti na kila ijumaa nasikiliza hotuba zao kabla na baada ya swala ya ijumaa mambo yanayozungumzwa tungekua tunafuata wanadamu wote dunia ingekua pahala salama sana.
 
Katika uislamu kahaba hawez kuolewa kama wewe 😂😂wala malaya.

Mtu wa kijijini unaongea nin mshamba !?
Basi sikia ujue kwetu wanajielewa usihukumu usije ukahukumiwa , eti kahaba hawaolewi hakuna wagawaji wanaongoza kama waislam jamani wanatoa hadi kero halafu ni jinsia zote
 
Kahaba ndio maana ukaoelewa na mwanaume hanithi , utapata wa kufanana nae.

Kumbe kila mtu unaykutana unamuangalia dini yake....we unagawa papa na injini ishachoka na ushamba wako..
 
Hawa watu nimefuatilia mafundisho Yao 90 asilimia ya mahubiri Yao ni mapenzi, mahusiano na mwanamke mbaya zaidi hawana ibada za rika tofauti, wao ibada zao ni Moja kwa watoto na wakubwa, unakuta mtoto mdogo anajazwa mambo makubwa ya ajabu kwa umri mdogo akija kuharibika kwa ku practice Yale mahubiri ya Kila siku anayoyasikia kwa viongozi wake waliosoma elimu iitwayo ILIM basi wanaanza kulalamika kumbe chanzo ni wao wenyewe
Hio inasaidia ndiomana wana akili kubwa za kuishi ndoa na kutatua matatizo wanakuzwa mapema sana si mke si mume waislam wake vizuri kuijua ndoa
 
Mwanamke wa kiislama kwenye ndoa ni sawa na mpangaji Hana garantii wapo juu juu kutegemea chochote muda wowote either talaka au kuongezewa mke wa pili.

Wanawake wa Kikristo ni sawa na wamiliki wa nyumba Sio kazi rahisi kumfukuza mmiliki wa nyumba thus wengi wao hawana heshima na utii wamejaa ufeminism.
Unaoa kwa kumtisha mwanamke kuwa utamuacha utaoa mwanamke mwingine. Hapo ni sawa umefungua danguro nyumbani kwako
Kuhusu heshima kwa wanawake wa kiislamu sijui unazungumzia nini. Nimeshuhudia kwa macho yangu ndoa za kiislamu zimevunjika tena wengine walikuwa wanapigana, sijui heshima ipo wapi.
Kuna mwingine muislam, yeye kazi yake ni kuoa na kuacha kwasababu dini imeruhusu, nimeshuhudia ameoa mara 3 na hapo ana watoto 4 kila mtoto na mama yake.
Lengo la kuoa wanawake wengi kwa waislamu ili wawe wengi, idadi ya waislamu iongezeke
 
Mbona wanaachana kila siku kama wanaijua ndoa?
Kuna jirani yangu hapa walikuwa wanapigana ngumi na mateke, walishaachana. Kuna mmoja ustadhi kabisa, katelekeza mtoto (tena aliyempa mimba ni mchepuko).
Mnajua kujisifia na kujiona nyie ni wema sana kuliko wengine
 
Back
Top Bottom