hamiii
Member
- Nov 10, 2013
- 19
- 16
Niseme kitu, jambo sio kuwakandamiza nadhani ni uwasilishaji wa mtoa mada (imamu) siku hizi imamu uonekane uko vizuri lazima utie maneno ya shombo na watu wacheke
Ila pointi ni kuwa mwanaume ni centre of attraction ama kiungo kikuu (ugali) lakini si ati kuwakandamiza wanawake la hasha, anaelezea nafasi ya kila jinsia kwenye maisha ama jambo la kujenga familia.