Wanaume wa kiislam msitumie dini kunyanyasa wanawake wa kiislam kisaikolojia

Niseme kitu, jambo sio kuwakandamiza nadhani ni uwasilishaji wa mtoa mada (imamu) siku hizi imamu uonekane uko vizuri lazima utie maneno ya shombo na watu wacheke

Ila pointi ni kuwa mwanaume ni centre of attraction ama kiungo kikuu (ugali) lakini si ati kuwakandamiza wanawake la hasha, anaelezea nafasi ya kila jinsia kwenye maisha ama jambo la kujenga familia.
 
Kanuni za kuachana zinasaidia kuondokana na wanafiki
Lengo la ndoa siyo kuachana. Bali ni kuishi pamoja kwa upendo mpk kifo kiwatenganishe.
Unajisikiaje unaoa, unaachana, unaoa tena mnaachana, unaoa tena, unaachana mpk mara 10 kisa dini imeruhusu?
Unaweza kumuona mwenzako mnafiki kumbe wewe ndiyo mnafiki.
 
Ndio imekuwa hivyo ni kuoa na kuacha, ndoa sio gereza. Nakushauri sana kataa ndoa kataa kuoa, kuoa na ndoa ni nuksi
 
🤣🤣Sioni point malaya wakubwa ni nyie hata ukitaka takwimu naleta hapa za ukiangalia utapiamlo the more unakuja kweny mikoa ya uislamu basi inapungua.

Ndio maana ukimwi ni njombe na iringa .

Bado uchafu mnanuka papa hata kujiosha na kuna ile video ya juzi yule dada kagushwa bado ana nya ni mkristo yule maana hata janaba hawezi kuoga.


Bado kesi ya kuua wanaume zenu ukianzia huko Kilimanjaro halafu ,njombe na iringa🤣🤣..
Bado utapeli ndio usiseme wanawake wa dini yenu ni wachafu kuanzia mawigi ni machafu kama wapumbavu.

 
 
Sema vijitabia fulani hivi havipendezi kwa hawa kaka zetu, ndiyo maana baadhi wanaamua kuishi mseto,

Kaka zetu ni miyeyusho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…