LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Umenikumbusha mbali,Kuna dada flani mlokole sana niivyomjua nikajifanya naitwa John halafu Kila siku namuuliza masuala ya kiroho.Alikuja kujua kuwa mwamba muislam ashaliwa zamani sana.Wanaume tuna mbinu sana